Plateu united nao wamemfunga esperence ya tunisia
Ila hao hao plateu waliwahi fungwa na simba hapo hapo kwao
Sasa ukiamua kulinganisha linganisha kotekote
Kwa hio esperence ni wepesi na simba ni wagumu?
Chelsea akiwa namba 6 kwenye ligi aliweza kumbonda barcelona bingwa wa laliga kwa misimu 5mfululizo
Chelsea mwaka jana alimbonda atletico bingwa wa laliga na madrid mwenyewe akiwa nafasi ya 3
Ni mara nyingi tu madrid amechukua ubingwa wa ulaya huku akiwa sio bingwa wa ulaya
Hata liver...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.