Jibu ni rahisi mtu wako wa karibu ndio anakujua vizuri. Adui yako wa mbali hawezi kukufikia bila kupitia kwa rafiki yalo wa karibu.
“Kikulacho ki nguoni mwako”
Huyu mbunge amekuwa akinifikirisha kwa hoja zake hasa katika sekta ya Elimu. Ninajifunza kuwa kwa namna unavyopanda daraja la kiellimu ndivyo unavyojitenga na natural intellegence na kuongeza artificial intellegence.
Mfumo wa Elimu yetu ni wa kucopy na kupaste ila hauzingatii context...
Mkuu nina mengi ya kusema kuhusu bandiko lako lakini sioni sababu ya kufanya hivyo kwa sababu zifuatazo:
1. Humaanishi unachokisema
2. Huna nia njema na nchi yetu
3. Una roho ya ubaguzi iliyopitiliza
Ushauri: Kwa faida yako soma kitabu kinaitwa ‘Behind the presidential curtain” kimeandikwa...
TAG mtangulizeni Mungu kwenye jambo hili. Kama Mungu habagui waumini kwa madhehebu ninyi mnapata wapi huo ujasiri?
Kwa mbali naona roho ya majivuno ikiwanyemelea ambayo haijwahi kumuacha mtu salama. Naona dalili za kujitenga kitaasisi, kimsimamo na madhehebu mengine hasa yenye imani ya...
Tukielewa dhana ya uanaharakati utajifunza kuwa kwa muktadha wa Africa ina historia ya kuwa na activist presidents.
Kwa lugha rahisi tunaweza kusema Activism is the process of campaigning in public or working for an organization in order to bring about political or social change. He believed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.