Ads za kwenye app mkuu ndio natumia ku-monitize. Option ya kununua app nzima anayo na alikuwa nayo toka 0 users, sasa ni 100K plus users bei si chini ya 1M. Ikiwa 0 users bei ni laki 5. Kama unafanya au umefanya hii business utanielewa kuwa hizo ni bei ndogo sana ukilinganisha na ads za Google...
Naona kuna wanaopinga uhalisia wa code ya jamaa lakini, kwa maoni yangu nadhani source code zipo ili kukurahisishia mchakato mzima. Unaweza ukawa una idea ila usijue pa kuanzia. Anyway mimi nimetengeneza DjChoka Music App, Kurasa na nyingine zinazofanana na hizo (zilizopo kwenye account yangu ya...
Mobile app ni muhimu kwa kuwa unaweza kufanya vitu vingi ambavyo huwezi/ni ngumu kufanya na responsive web (more user friendly). Mfano mdogo tu ni Google Play Store. Iko responsive kwenye browser nyingi ila haitoshi wakaongeza na mobile app. Kwa hatua tuliofikia users wanapendelea sana mobile...
Wazo zuri pia. Kwa haraka haraka nime-update post hii na kuweka link ya makala inayofafanua faida za RSS kwa makundi mawili ambayo ni publishers na subscribers wa blogs na tovuti zote kwa ujumla. Link hii hapa tena > RSS Advantages
Ila kama ulivyopendekeza nitatafuta muda kuiandalia post maalumu.
Kwa anayetaka hii android app ya kusomea RSS feeds pia source code ambayo imetumika kutengenezea.
Kurasa Tanzania
SOURCE CODE
UPDATE:
Kama wewe ni blogger au mtumiaji wa blogs na ungependa kujua faida za RSS basi soma hii makala hapa > RSS Advantages
Ni njia rahisi ila ugumu unakuja katika kupata users kirahisi na pia nadhani systems za malipo hazipo efficient kwa upande wa bongo. Google Play Store inarahisisha kila kitu sema kwa bahati mbaya bado haijaanza ku-support developer wa Tanzania. Nadhani/tumaini siku za karibuni wataanza...
Kurasa Kenya: All in one RSS reader app: Get the latest Kenya news, newspapers, events, music, fashion, movies & more from your favorite websites and blogs.
Mara nyingi waandaaji wa apps wanaruhusu kudownload bure kwa kuwa wanategemea adds ziwaingizie kipato. Kwa hiyo kama app inauzwa basi hakuna haja ya kuweka adds kwa kuwa kipato kinapatikana kutoka kwenye mauzo hayo.
Download Link: BlueStacks - Home
Bluestacks is a Silicon Valley-based software company that produces BlueStacks App Player and BlueStacks Cloud Connect. Both products are designed to enable Android applications to run on Windows PCs, Macintosh computers and Windows tablets. (Source)
Nilichoelewa kwenye swali lake ni kuwa kama unahitaji kuwa android developer ni lazima kujua programming languages nyingine yaani "as a PREREQUISITE". Kuna wengine wanadhani kujua Android ni lazima ujue Java kwanza.
Android ni programming language kwa hiyo ni lazima kuijua ili kuweza kutengeza...
As most of developers, the main goal is to publish paid applications, unfortunately, developers who reside in Tanzania won't be able to sign up for merchant account, thus they can't sell apps through Google's platform (May be in near future). However, developers can still earn money with free...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.