Search results

  1. kwembe87

    Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    hawa wameshachoka kabisa tozo kila siku mifumo ya haki imefungwa mikono suluhisho ni katiba mpya tu
  2. kwembe87

    Taarifa: Bunge limeanza vikao leo Novemba 2, 2021

    Bunge lipi ujinga ule?
  3. kwembe87

    Rais Samia haropoki hana temper ni vitendo tu

    Subiri umuone anavyokutana na upinzani mdanganyeni tu na ataharibu hujawahi ona
  4. kwembe87

    ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

    Polisi wamekuwa wauwaji kuna haja ya katiba Mpya pamoja na kuvunja na kuunda upya jeshi la polisi lenye kuwajibika kwa Jamii na cyo kulinda uovu na uhalifu
  5. kwembe87

    Unapogombana na mpenzi wako unamaliza vipi ugomvi?

    kama hakuongeleshi ila wewe tu? unaongea?
  6. kwembe87

    Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

    Poleni sana roho zao zipumzike kwa amani
  7. kwembe87

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Hawawezi Fanya lolote joka ukilifuga linaweza kukudhuru Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  8. kwembe87

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Angalia Fanya tafiti hata Magari yao yanapack wapi hapa mjini kama siyo st Theresa Cathedral usibishe usiyojua.
  9. kwembe87

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Wewe unaijua? Hahahahhaa kama hujui wafadhili ambao wako chini ya kanisa na hilo jina na Tec waliomba isamehewe deni Siku ya kusimikwa Askofu Amani kama hujui uliza.
  10. kwembe87

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    mpaka waache kuunga juhudi sasa hivi kila askofu wa Tec kigelegele mitano tena walipe tu
  11. kwembe87

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    acha wakomeshwe Tec wamekuwa waunga juhudi sana walipe kutoka mfuko wao
  12. kwembe87

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    mjinga wewe huijui st Jude lakini sawa Baraza la TEC na rais wao alisema tume wanaiamini inafanya kazi nzuri kauli ya Padre Kitima na na Askofu Nyaisonga kada kindaki ndaki wa kijani walipe tu wangekemea tume mambo yasingekuwa kama ilivyo leo
  13. kwembe87

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    acaha tunyoshwe tu maana TEC walionesha kuiamini tume ya uchaguzi pamoja na irregulaties Fr. Kitima alisema walipe kodi sasa TEC kila mtu ataguswa utawala wa sheria ni muhimu sana unachotaje hela kutoka kwenye account watoto wanasoma bure si waliomba msamaha siku ya kusimikwa Amani kwani...
  14. kwembe87

    Mahubiri ya Baba Askofu Mtetemela pale KKKT Mbezi Beach yamenishawishi kuachana na siasa za "Kishabiki"

    kumbe ulikuwa na lengo hilo nyie washindi wa asilimia 98%
Back
Top Bottom