Kaka uliza uwambiwe usikurupuke au ndio usomi wetu watanganyika kuchangia tu japo uwongo.Dr.Mwinyi si mzanzibari ni mtaanganyika kwao ni mkuranga Baba yake Mzee Ali Hassan Mwinyi ni mtu wa mkuranga na wazazi wa mzee mwinyi wote wamezikwa mkuranga fanya utafiti kidogo tu utaupata ukweli na ndio...
Nawewe nawe Songa mbele zanzibar songa mbele mpaka upate ukombozi wa kweli.Hongera Mh.Raza kiukweli nakukubali watanganyika tutabana mwisho tutaachia tu waacheni wazanzibari waende bana halafu wewe mwanakijiji unautetea muungano kwasababu umeasisiwa na juliasi nyerere tu huna lolote
HAHAHA! HONGERA JK NILAZIMA SISI WAKRISTU TUKUCHUKIE,UMETEUA JAJI MKUU MUISLAMU KWA MARA YA KWANZA TOKEA UHURU HAWA WATU HAWAJASOMA NA 20% YA WATANZANIA WOTE HAWAFAI KUPEWA VYEO UMEMTOA KARDINALI PENGO ASIHUDHURIE VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI JAMANI JK NILAZIMA TUKUCHUKIE HAKIKA UNA OMBWE LA...
Hongera Mama HAWA N'GUMBI hakika umefanya lile nilikuwa nataraji ufanye Ni ukweli usiopingika kama huyu jamaa mnyika hakushinda pale ubungo inawezekana kabisa wewe ulishinda kuna ushahidi wa kimazingira hata kesi chadema walitoa rushwa.
HALAFU JAMANI HUYU MNYIKA MBONA MIMI SIJAONA UWEZO WAKE...
Ama kwa hakika makala imetulia sina haja ya kuongeza chochote labada kuweka wazi jambo moja ambalo kaka Ahmed Rajabu amelieleza but kwa uficho kidogo 'WATANGANYIKA SOTE TUNACHUKULIA LOLOTE LILILOSEMWA NA NYERERE BASI HILO HALIPINGIKI NI UKWELI TU YAANI NYERERE ANAENDELEA KUTAWALA HATA AKILI ZETU...
Umesahau kuwa moja msingi wa Chadema ni kuhakikisha ikipata Nchi hakuna Waziri,Naibu Waziri,Katibu Mkuu ,Wakurugenzi ,Katika na maofisa wote Ngazi ya maamuzi katika Wizara,Idara na Mashirika ya Umma ambae ni Muislamu.'Waislamu wote toa kwanza hawana elimu hata ikiwa wamesoma lakini hawajaelimika...
Waasia ,wamalawi ,wakenya ,na wageni wanaishi hapa kwa wingi tena ni wafanyabiashara wakubwa wako na majumba na maarhi je tuko na muungano na nchi zao hebu tuache ujinga!
Au mnataka kutuambia kuna muungano wa tanganyika na india ndio wahindi wakajaa hapa mpaka bungeni wapo,watu wametoka india...
Dah!Jamani sisi watanganyika sijui NYERERE Katuroga au vipi manake tumekuwa hatuwezi kufikiri beyond Nyerere kila kitu Nyerere dah!Nyerere huyu ndiye aliejenga misingi mibovu ya uchumi na uongozi wa nchi hii Nyerere ndie Muuaji wa Tanganyika Jamani mbona sisi hivi?
Lakini kitu kinachotusumbua...
Ama kweli watanganyika akili zenu ni finyu saana Maalimu huwezi kumlinganisha na baba yenu juliasi nyerere na mtanganyika nyeyote.Hebu nendeni butiama mukamuulize juliusi jinsi alivokuwa akimuogopa maalimu.Dr.slaa na Makamba ni sawa tuu,mi sioni tofauti yao wote ni wasema ovyo hawana elimu...
Jamani mimi Tanganyika ninalia na kuhuzunika kwanini watanganyika wangu hawanipendi? na wananichukia sana hawataki hata kuitwa kwa jina langu hawajitambulishi kwa jina langu hawataki hata kunisikia,nikiangalia mwenzangu kenya jinsi anavopendwa na wanawe ninaona choyo.Lakini mimi sinabahati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.