Utahira wangu ni upo ndugu, kwani huwezi kumkosoa mtu mpaka umwite tahira. Huyo niliyemjibu alisema picha imeeditiwa akalaleta picha nyengine ambayo mimi binafsi sikukubaliana na yeye. Picha zote zilipigwa siku moja Lkn muda ( dakika) tofauti ndio maana picha ya kwanza ile ambayo wabunge...
Ushuru wetu wa bidhaa za nje na magari yanayoingia huwa tunakokotoa kwa usd ( dollar) miaka miwili iliyopita $1=1600tz shilling Leo $1=2200tz shillings sasa Mimi huwa najiuliza tukiambiwa tumeongoza makusanyo ya kodi huwa sielewi. Tumeongeza makusanyo au hela yetu imeshuka thamani? Zimbabwe sasa...
Umeua kwani Kama Mtu ameamua kuwa mkulima si atafute mwenyewe mbolea. Anayempinga magu na serikali Yake kwa maendeleo aliyoleta ni sawa na kumpinga Mungu. Magu oye Tena oye.
jamani siku hizi nitajitahidi kujitia ujinga ili nisupport wana ccmMaana bila ujinga huwezi kuwa support ccm.
Magu...
Safi sana lazima Maalim na wenzake wajifunze kufanya maamuzi ya haraka. Katika Hili wa kulaumiwa ni Maalim seif. Hakusoma Alama za nyakati. Sasa nataka lipumba awafukuze wabunge wote wa CUF wa kuchaguliwa.
Pia ni rais pekee mwenye akili kuliko wote duniani, pia ni rais pekee mwenye kujua kila kitu duniani, pia ni rais pekee alitumwa na Mungu kuja kuwanyoosha watanzania, pia ni rais pekee msema kweli "gaddafi ni rais wa irak " pia ni rais pekee mwenye busara, pia rais pekee mwenye roho nzuri...
Serikali ingesema tunawadai mpaka trillions 5 ,kidogo Ningejijaza ujinga wa wafuasi wa ccm nikakubali ni kweli tunawadai. Wazungu ni wezi na wana mikataba ya kinyonyaji lkn wanaiba kisheria hawaibi kipuuzi. Hukumu ya wazungu anayo Mungu lkn Ktk mahakama watatushinda.si kwa sababu wanajua sheria...
Hata yote ametaka Maalim seif kwanini alikaa mwaka mzima Bila kuitisha mkutano Mkuu wa kuchagua Mwenyekiti? Sijawahi kuona uzembe wa aina Hii. Wacha cuf ijumifunze kufanya mambo ya kizembe.
Sifurahi tukikosa Lakini kuna mambo mengine hayaingii akilini .. trillion 425 ?? Kwa miaka 17 ( 2000-2017) ukijumlisha budget zetu zote hewa ambazo huwa Bunge linapitisha kila mwaka hazifiki jumla ya Hiyo hela trillion 425. Leo niunge mkono serikali na kubishana na watu wa nchi yangu na nchi za...
ikiwa rais wa nchi anamkaribisha mwanamke Kama wolper unashangaa nini kuhusu sumaye. Kuna watu wa ajabu nchi Hii wengine walipiga kura kwa magufuli kwa ajili ya push-ups zake tu.
Mimi sina akili hata moja na ndio maana nikapoteza muda wangu kukujibu Mtu mwenye akili Kama wewe. Lakini 2020 Nina haki ya kupiga kura Kama wewe mwenye PhD ya akili.
Ikifika wakati wa uchaguzi kila mtanzania mwenye umri wa miaka 18 ana sifa za kupiga kura. Sasa huyu wema ambaye kwako hana maana kwa kuwa kwa vipimo vyako hana akili ana wafuasi wake Kama milioni 2 ambao kwao wema ni shujaa na alipo wema wapo nyuma Yake . Na hao wafuasi wake akili zao ni Kama...
Kumbuka kuwa Ktk kile watanzania wa nne mmoja ni mpumbavu Kama utafiti ulivyobaini kwahiyo Ktk watanzania milionin 40 tuna wapumbavu milioni 10. Kwahiyo wema akitupatia nusu ya kura za hawa milioni 10 mbona chadema ushindi ni Wetu.halafu Chadema ni chama cha kila mtanzania Bila kujali uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.