Search results

  1. T

    Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

    Yani wameng'ang'ana na fedha zetu tu ila mungu yupo malipo hapahapa duniani kwani dua za wengi husikilizwa
  2. T

    Naanzisha kampeni ya kumuomba Rais Samia amuondoe Mwigulu Wizara ya Fedha

    Mzee aliyeingilia Kati suala.la Askari barabarani na akasikilizwa tunaomba aingilie Kati pia suala la tozo, asikae kimya maana ni moja wapo ya njia ya kutetea wananchi
  3. T

    Serikali; Ongezeni bei ya bando na tozo hizi hazitoshi

    Aweke tozo ya watembea Kwa miguu maana nauli na mafuta bei juu poa
  4. T

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu nashukuru nilipata mzigo wangu na kwa bahati nzuri sikukatwa kodi isipokuwa nilitozwa gharama za posta kiasi cha tsh 2350,asanteni sana kwa ushauri ambao nadhani next time nitafanya mazungumzo na seller kabla ya kununua mzigo ili nijue invoice itakavyokuwa baada ya kununua mzigo
  5. T

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Sawa mkuu nimeshamcheki nasubiri anijibu, ni seller mzoefu (Fantasy)
  6. T

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Asante nashukuru kwa ufafanuzi, nimefumaniwa safari hii aina ujanja
  7. T

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu status ya mzigo wangu inaonyesha umezuiwa na Watu wa TRA ,uliingia toka 24/12/2019, Jana ndio update ikaonyesha" Held by customs" . Je watanijulisha kiasi cha kodi au mpaka nifuatilie? Na km kufuatilia nafuatilia posta au TRA? Plse wanaofahamu utaratibu
  8. T

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mkuu kwani dispute haina muda maalum? Isije kuwa Jamaa wanakupotezea muda ili muda wa dispute uishe. Any way ,hao akina yanwen ,Malaysia post,nk wengine hata tracking number zao sio international ukienda POSTA wanakwambia hizo namba hazipo
  9. T

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mimi nilshawahi Agiza mzigo ukasafirishwa na huyo agent lkn update ya Mwisho ni may 16 mzigo ulikuwa posted to counter south Africa, mpaka Leo haujafika tanzania, nilishafungua dispute na nilisharudishiwa fedha zangu, shipper mwingine wa hovyo ni Malaysia post
  10. T

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ukishapata hiyo tracking namba km alivyokuelekeza Mdau hapo juu, download application inaitwa "Track24" au "17 track" zitakusaidia kutrack mzigo wako any time unapotaka
  11. T

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Seller akisha ship mzigo utatumiwa update na Aliexpress, na utapewa tracking number ili uwe unaufuatilia mzigo mpaka utakapofika posta uliyotumia
  12. T

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    MM ni mwezi wa master card Ku expire,mf 01 ni january ,02 febr etc. na YY ni mwaka wa master card Ku expire, ambao ni 19
  13. T

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Kwa upande wangu toka nimeanza kuagiza bidhaa sijawahi kutozwa gharama yoyote
  14. T

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ulizia hapo posts ulipochukua parcel inawezekana wamesahau hiyo ya Pili,Mimi ilitokea hivyo wiki moja iliyopita,kumbe yule anayechapisha vile vikaratasi vya kupokelea mzigo alisahau ikabidi akichape muda huo huo na nikapewa mzigo wangu,na ilikuwa posta ya mkoani
  15. T

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Utapatà update mzigo ukifika mkoani
Back
Top Bottom