Ungejaribu kuutendea Ubungo wako haki angalau ukajenga hoja! Mimi nimetoa MTAZAMO wangu kwa uelewa wangu, iwe kuna ufisadi au hakuna, lakini TZS800m sio kwamba ndo bei ya Ardhi kwa eka, ila ni shareholding value ya project cost
Simjui DAU na wala hanijui! Hoja yangu ni kwamba TZS800m/acre sio bei ya ardhi n shareholding value kwenye mradi! Mwenye Ardhi hajauza ameINVEST jointly na NSSF! Ungesoma maelezo yangu ungeelewa ninachokimaanisha ila Kwa sababu you have that ufisadi syndrome in your mind, itakuwa ngumu kunielewa
Hapo ndipo ngoma nzito!!! Mwekezaji hajauza Ardhi, ameINVEST, yeye pamoja Na NSSF! Wote ni wabia! Ndio maana hiyo hoja ya TZS800m/acre haina mashiko hapo! Ukokotoaji umejikita kwenye anachomiliki Kama share yake kwenye ubia ati ndo bei ya ardhi!
Inawezekana kabisa gharama ya mradi ikawa ni kubwa hadi kufanya shareholding value ya mwenye Ardhi iwe juu, lakini Kwa ukokotoaji kwamba shareholding value ya landowner ndo bei ya kiwanja, hili Mimi sioni Kama Lina mantiki
Akilipwa na nani? Azimio Housing na NSSF wote ni wabia katika huo mradi chini ya kampuni ya HIFADHI BUILDERS kama sikosei! Wote wamewekeza, na at the end of the day wanagawana dividends!!
Nafikiri ni kwamba hoja inajengwa kwa hisia za kwamba kuna ufisadi lakini mimi nimejaribu kuangalia hiyo...
Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusiana na miradi miwili ya NSSF, iliyoingia na Azimio Housing kule Kigamboni na Arumeru-Arusha! Hoja kubwa imejikita katika project ya Kigamboni kwamba ni kwa vipi eka moja iuzwe kwa TZS 800m? Hii bei inaweza kuwa sawa ama si sawa kutegemea na mchanganuo upi...
Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusiana na miradi miwili ya NSSF, iliyoingia na Azimio Housing kule Kigamboni na Arumeru-Arusha! Hoja kubwa imejikita katika project ya Kigamboni kwamba ni kwa vipi eka moja iuzwe kwa TZS 800m? Hii bei inaweza kuwa sawa ama si sawa kutegemea na mchanganuo upi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.