Naomba kufaham ni kwanini misuli inachezacheza. Misuli ya mikononi na miguuni. Je kuna uhusiano na suala la msongo wa mawazo. Nn nfanye ili kupunguza msongo. Nna miaka23. Natanguliza shukurani
Mkuu....hivi misuli kucheza cheza husabaishwa na nini. Je kuna uhusiano wowote na msongo mkali wa mawazo?? Naomba kujua jinsi ya kupambana na msongo wa nawazo. Natanguliza shukurani
Misuli kuchezacheza hua ina maana gani....je? Upo uhusiano wowote baina ya misuli kucheza na Msongo mkali wa mawazo?? Ni kwa vp naweza epuka msongo wa mawazo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.