Search results

  1. S

    UWENDAWAZIMU.

    Kiongozi mmoja katika hotuba zake alipenda kuelimisha. Katika moja ya hotuba yake alisema hawezi kuuliwa na mtu! Isipokuwa anayeweza kufanya hivyo lazima awe mwendawazimu. Je anayefanya au wanaofanya haya matukio hapa nchini kwetu, ya utekaji na kuuwa watu ni wendawazimu?
  2. S

    HUU UJANJA AJANJA MAKAMPUNI YA SIMU, JE NI UTAPELI?

    Makampuni ya simu za kiganjani yamekuwa kero kwa wateja wake kwa kutowatendea haki, ni kwa kutoa huduma duni. Kuna kampuni inaongoza kwa usumbufu kwa wateja wake, imekuwa dhaifu sana kwa utendaji wake, itakapobidi tutaitaja kwa jina. Mtu akipata tatizo la kupoteza kadi akitoa taarifa...
Back
Top Bottom