Search results

  1. W

    Natamani kusikia hili kutoka kwa Bashe

    nilitarajia umkosoe kwa data na ushahidi badala ya kung'ang'ana na kauli zisizoeleweka. Ccm imeingiaje humu? Toa makengeza wewe!
  2. W

    Natamani kusikia hili kutoka kwa Bashe

    Nimependa hii staili ya Membe ya kukataa kujibizana na mbwa wakati mwenye mbwa ambaye ndiye saizi yake yupo. Bashe alipaswa kujua kwamba a quiet fool is considered wise. Angekaa kimya tusingejua ujuha wake.
  3. W

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Hakika Ngurumo sasa anazudi kushuka hadhi kutokana na kupoteza weledi wa uchambuzi aliokuwa nao huko nyuma. Bila shaka hili linatokana na ama chuki aliyonayo kwa Kikwete, and by extension, wale wote wanaoonekana wako steadfast katika harakati za kumsaidia Rais kutekeleza majukumu yake, Membe...
  4. W

    Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Tunashukuru sana bwana Januari Makamba. Wivu unakusumbua na bado, utasaga meno.
  5. W

    Anguko la Mahanga kwenye NEC ni ushahidi tosha

    Milton Makongoro Mahanga alipata anguko kali katika kinyang'anyiro cha NEC wilaya ya Ilala. Anguko hili limekuja miaka miwili baada ya ushindi uliojaa utata wa ubunge katika jimbo la Segerea. Kwa anguko hili, Mahanga amedhihirisha kwamba hakubaliki wilayani kwao na kuna kila dalili kwamba hata...
  6. W

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Bashe ni adolescent wasiasa na anadhani kwamba kuke kukaliwa kimya ni kwa kiasi kikubwa kukomaa na hata kudiriki kujitoa mhanga kwa ajili ya waliomtuma. Anadhani kule kubebwa kwake na Masha katika sakata ya uraia basi ndivyo ilivyo kwa kila mtu. Wasubiri surprise nyingine ziko njiani mpaka...
  7. W

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Hivi nyinyi watanzania ni wa ajabu sana! Yaani wewe unaona fahari vitendo vya kuhujumu uhuru wa kutoa maoni ambao waliopigania uhuru walimwaga damu hadi tukaupata? Una maanisha nini unaposema kumsambaratisha? Ni kumuua? Shauri yenu mtakapokuwa na kesi ya kujibu mbele ya haki kwa sababu tu watu...
  8. W

    Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

    Tobaaa! Waziri Mkuu shoga Tanzania? Over our dead bodies! Wahongane kingine lakini siyo vyeo!
  9. W

    Mnyika hilo sawa lakini .........

    Hii ndiyo shida ya kuwa na watu waliojawa na ushabiki bila kuangalia hili kwa picha pana. Mkuu Tiote umetoa shile lakini kuna vipofu hawataliona hili. Mnyika jiondoe kwenye wingu hili na tekeleza yanayokuhusu.
  10. W

    Mnyika hilo sawa lakini .........

    Nimepita Bonyokwa juzi nikienda kuona mgonjwa. Yale si makorongo bali ni balaa mpaka unajiuliza kama eneo lile lina mwakilishi wa wananchi. Mawe yanayotishia kutoboa tairi ni kama mikuki. Mnyika hebu waonee huruma wenzio wanateseka sana!
  11. W

    Lowassa amtaka Gavana wa Benki Kuu kueleza kwanini mfumuko wa bei haushuki

    Ananikumbusha Jaramogi Oginga Odinga wa Kenya ambaye aliomba aachwe atawale Kenya angalau kwa saa moja tu ili aingie kwenye kumbukumbu kwama amewahi kuwa rais wa nchi. Mnaonaje huyu bwana akaachiwa hata kwa mwezi mmoja ili naye apandishe CV yake? Ni wazo tu.
  12. W

    Mnyika Bunge linakwisha, njoo uone ya jimboni

    Huku ni kutishana na haikubaliki. Ulitaka awe amechangia thread ngapi ndo apate hadhi ya kumjadili Mnyika au wateule wachache ambao wewe unawaona wana sifa ya kitukufu? Hili ni jukwaa huru na watu wanachangia humu bila woga wala vitisho. Mkuu Kiswigo karibu na hongera kwa kuanza kwa kishindo na...
  13. W

    Hili la Mnyika litajibiwaje?

    Tatizo la mambo kama haya ni kwamba wakifikishwa mahakamani, hawa hawa ambao leo wana dhamana watakimbilia mahakamani kuwatolea ushahidi na hapo ndipo ninapochoka.
  14. W

    Hivi Mbowe hili unalionaje?

    Lilikuwa mahsusi kwa ajili ya kumpigia debe kwenye urais wake wa 2005. Baada ya kubwagwa ameamua kuliacha lijifie kifo cha taratibu. Vinginevyo ni uchochoro wa kupokelea hela za mafisadi. Si nasikia mmoja wa wale ampacha watatu wanalipia gharama za uendeshaji?
  15. W

    Kamati ya Lowassa Kukagua Balozi

    Maskini Lowassa! Anahangaika bure kudhani kwamba kumchimba Membe kutampa yeye fursa ya urais. Hata kama angepata maovu ya membe, ambayo hata hivyo hatayapata, hiyo haimpi sifa yeye ya kuwa mgombea urais tumtakaye! Muda huu angeutumia kutubu na kuungama labda ingemsaidia. Alifanya hivyo Morocco...
  16. W

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Mimi ni mmoja wa wapiga kura wa jimbo la Ubungo ambao kwa fahari tulimpigia kura zilozomuwezesha Mheshimiwa John Mnyika kuibuka kuwa mbunge awa jimbo letu la Ubungo. Mheshimiwa Mnyika aliingia kwenye kiti hiki kwa ahadi za kutatua kero zilizokithiri, zikiwemo zile za uhaba wa maji na miundo...
  17. W

    Hili la Membe anayelijua atushushie

    Ziko habari kwamba katika harakati za kujipanga kwa urais wa 2015, waziri Membe amekuwa akihamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania na kwamba hivi karibuni atakuwa na kongamano la wanafunzi wote wa vyuo vikuu kwa ajili ya kuzindua harakati zake. Mwenye habari zaidi atujuze.
  18. W

    Naulizia hali ya majeruhi mkuu wa Arumeru Mashariki

    Kila mtu alikuwa anamuogopa jamaa lakini wana arumeru wametuonyesha kwamba huyu jamaa ni joka la kibisa na sasa kilichobaki ni kumtia adabu kwenye chaguzi zijazo. Kumbe fedha si kila kitu.
  19. W

    Hivi Benno Malema anajisikiaje?

    Sina heshima na huyu dogo anayetumika Kama mpira wa kiume. Ukiona mtu anaukata mkono unaomlisha basi ujumbe huyo hafai kuwa naye karibu na sasa laana imemzingira. Tunasubiri kule alikokumbatiwa amwagwe halafu aingie barabarani kuokota chupa.
  20. W

    Membe awavaa wanasiasa wanaojisafisha masikitini, mkanisani

    Hii ni pin pointing na unatakiwa ujasiri wa namna hii ili watanzania waelewe kwamba viongozi wetu wa dini wakikubali kuyumbishwa kwa vipande 30 vya fedha basi amani wanaiweka rehani. Hivi hizi hela angewaendeleza wale wamasai waliopoteza mifugo na sasa wanafanya ulinzi na kusuka nywele za...
Back
Top Bottom