Search results

  1. P

    Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

    Shigongo anakamkondo ka kumuingizia hela za hapa na pale. Huku anakoelekea itamletea shida
  2. P

    Rais Magufuli ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, awasikiliza Maaskofu, au awapuuze na kusimama na Mungu wake?

    Umeandika Mungu ukaandika mungu ukaandika Rais ukaandika rais. Umeeleweka
  3. P

    JWTZ isikubali kutumiwa namna hii, itoe tamko

    JWTZ ijipime vizuri. Nchi hainaga ukomo ila nyakati huja na kuondoka yaani kama maua tu
  4. P

    Naibu Spika Tulia Ackson asema Spika Ndugai ni mzima na ana afya tele

    Asante kwa taarifa. Arejee kazini sasa maana kitambo haonekani. Time will tell
  5. P

    Dodoma: Wahamasishaji maandamano wawili, tayari wametiwa nguvuni

    Hivi hii kitu ipo kikwelikweli
  6. P

    Askofu Munga: Kukamatwa kwa mchungaji juu ya uchochezi haina tofauti walichofanyiwa manabii na Yesu kwa tawala za Dunia

    Misimamo ya Kidini ikishasigana na Misimamo ya $erikale eventually ni machafuko tu
  7. P

    Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Mtulia-Akwilina(RIP)-Mtulia
  8. P

    Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Kifo cha Akwilina kimetokana na roho za kinyama ambazo kimsingi hazina hofu ya Mungu.
  9. P

    Rais Magufuli akishindanisha Maandamano, utakuwa mwisho wa Upinzani?

    Hivi ni kweli yule binti amesikika kiasi hiki?
  10. P

    Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Aaah haya ni sasa ni mambo kwelikweli. Leteni chats zake na demu wake tuone huo mtiririko wa Dar hadi Sao Hill. Yaani tuone kwa nini hakwenda direct kwa honey wake
  11. P

    Wahalifu wasiojulikana wataachwa mpaka lini?

    Wewe ni Chahali au Mange? Or mmewsiliana?
  12. P

    Mahiga: Hakuna sababu za Tanzania kuwekewa vikwazo na Marekani

    Siasa yetu ina msimamo wowote katika kipindi hiki? Serious?
  13. P

    Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Sasa mnataka kujua ID za watu na watu wenyewe kwa mtindo huu?.Jitambulishe mubashara kwanza aisee vinginevyo utabishana na watu kireja reja
  14. P

    MSAADA: Nyoka ameingia ndani kwangu

    Andrew Nyerere, tafadhali
Back
Top Bottom