Search results

  1. Good Luci

    Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Hapo ndo kunatokeaga sintofahamu watu undugu au urafiki unakufa bila sababu, Kwa vipimo vyako unaona kakosea na kwa vipimo vyake anaona yuko sawa ila wewe umemind na humwambii ( kinyongo), embu kunjua moyo kama mmezoeana kama ulivyosema ongea nae straight forward kama hujapendezwa basi yaishe...
  2. Good Luci

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Ningekushauri uchukue iyo gari ukae wewe mwenyewe usiweke dereva,uwe unakodisha na kuifanya uber. Then umalizie finishing nyumba yako uunganishe na Airbnb ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa miji ya kitalii kama iyo. So utakuwa na income revenue mbili Airbnb na gari lako kisha uje ujenge icho...
  3. Good Luci

    Hii vita kati ya mwanadamu na shetani ni vita ya uonevu(haina usawa na haki)

    Heri, Iliuweze kuelewa lazima ujue kusudi ni nini? Je kusudi ni kufa? Hapana ni kuishi Je kusudi ni mabaya? Hapana ni Mema Je kusudi ni kushindwa? Hapana ni Kushinda Palipokusudiwa ni wapi? Je ni mbinguni? Hapana ni juu ya nchi (zekaria 14:9,ufunuo21:3) Muumba alitukusudia tuishi umilele...
  4. Good Luci

    Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Pole na hongera kwa ushindi, Kwanza ili uelewe ni kujua kusudi,tulikusudiwa tuwe na ONO ili tuone ya mbele kama ni mazuri tushukuru yatokee na kama ni mabaya tushukuru yafutike (efeso 3:10). Hayo ulioota ni mambo uliyopitia tangu unazaliwa hadi sasa yanamadai kwako yanataka kukuzamisha...
  5. Good Luci

    Kati ya maji ya mvua na maji ya chemchemi, yapi ni masafi zaidi?

    Maji ya chemichemi ni bora zaidi hasa chanzo chake kikiwa hakijawekewa takataka. Ya mvua hata ukinge leo ukiongea kuna hali flani ya utelezi na yanawahi kuweka wadudu
  6. Good Luci

    Wanaume wengi wanakula vyakula vizuri kuliko familia zao

    Mwanamke ukijua kupika na kubadilisha menu nyumbani kila mwanaume atakula nyumbani. Ila sasa unakuta daily wali marage, ndizi, ugali dagaa au tambii nyama, hata ikiachwa 50k msosi haubadiliki why!!!! Badilikeni na pia jifunze mmeo anapenda vyakula gani kama ni makange mbona hata home...
  7. Good Luci

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Baraka Hekima Amani Hodari Fahari
  8. Good Luci

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mali mtaipata shambani
  9. Good Luci

    Ila nyie watu wa Dar es Salaam ni wachoyo sana kwenye chakula

    Kweli familia zinatofautiana hasa huku mjini mwendo wa bajeti,imenikumbusha mama mkubwa huwa anapika chakula kingi ukienda mgeni lazima sahani ijazwe tena ukiwa wakiume ndo usiseme yaani mlima kilimanjaro huo wa msosi wowote. Sikukuu sasa ndo anachinja kitibaridi na kupikia sufuria za...
  10. Good Luci

    Vita ya kupinga ushoga viwe kwa jinsia zote

    Warumi 1:26-27 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao...
  11. Good Luci

    Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Dini zote na mifumo ya dunia iliyotangulia ndio wananafundisha kwamba kifo ni lazima ila Muumba alikusudia tuishia umilele hapahapa juu ya nchi. Hosea 13:14 Nitawakomboa na nguvu za kaburi; nitawaokoa na mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Kujuta...
  12. Good Luci

    Tanzania ipo kwenye process ya kuingia kwenye kurasa mpya, na zama mpya

    Tanzania 🇹🇿 taifa Baba na Chanzo cha baraka kwa mataifa mengine wote watajua.Kama alivyosema Yesu miaka 2000 iliyopita ndo imetokea sasa Mathayo 21:43 Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
  13. Good Luci

    Moyo wangu unavuja damu

    Pole sana ndugu na pia hongera kwa kupata ujasiri wa kushare, Kwa hali aliyonayo mama yako haitakiwi kukutoa kwenye mstari ukizingatia sasa hivi kuna dawa akitumia kwa ufasaha (good adeherence) atakuwa vizuri tu ndani ya muda mfupi na hakuna gharama zozote katika clinic zote (CTC) za HIV, na...
  14. Good Luci

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Msamaha wa bure wa Muumba kwa wote.
  15. Good Luci

    Nyikani, Mwanamke atainua mnyama kutoka majini atakayetupeleka Nchi ya ahadi

    Sijalazimisha ndugu naelewesha kwa upendo (1korintho 13:13)maana hakuna aliyekuwa anayajua haya zaidi ya Muumba. Maana dunia na ulimwengu waliificha kweli isijulikane ila sasa itajulikana maana Muumba ni mmoja na ni wa wote na anajitegemea yeye mwenyewe (warumi 11:36, 1korintho 15:24-28) Yeye...
  16. Good Luci

    Nyikani, Mwanamke atainua mnyama kutoka majini atakayetupeleka Nchi ya ahadi

    Kwanza lazima ujue jambo hili Kwanza lazima ujue jambo hili •Malkia wa mbinguni (yeremia 44:17-18) •kahaba mkuu na mama wa makahaba (ufunuo 17&18) •Mwanamke mchawi (kutoka 22:18) •Yezebeli (1falme 19:1-2) •Mama wa wote wenye uhai (mwanzo 3:20) •ufunuo (ufunuo 12:1) •wanawake saba (isaya 4:1) •...
  17. Good Luci

    Nyikani, Mwanamke atainua mnyama kutoka majini atakayetupeleka Nchi ya ahadi

    Hapo anaongelewa kahaba mkuu na mama wa makahaba katika ufunuo 17 na 18, aliyekuwa anamiliki biashara zote.
  18. Good Luci

    Hivi wanaposema jipende mwenyewe unatakiwa ujipende kwa vitu/namna ipi?

    Kwanza lazima uanze kufanya yafwatayo ndipo ufikie level ya juu ya kujipenda •Kujitambua •Kujisamehe •Kujifahamu •Kujielewa •Kujikubali •Kujipenda
  19. Good Luci

    Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    Mbna imeandikwa wanaume wapendeni wake zenu na wake watiini waume zenu, ilo lipo hata Muumba anajua. Efeso 5:22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Efeso 5:25a Enyi waume, wapendeni wake zenu,
  20. Good Luci

    Kila kitu kilishapangwa

    Kila aliyeumbwa kabla hajaingia kwenye tumbo la mama yake alikuwepo tena akiwa mkubwa kabisa sio mtoto, (Yeremia 1:5a Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua). Ishu inakuwa baada ya uumbaji kutekwa kila mmoja alikuwa ameibiwa masterplan yake (KUSUDI),falme na mamlaka walikuwa na uwezo wa kuona...
Back
Top Bottom