Search results

  1. A

    Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Kila mtu aendelee kuamini atakavyo kuna wanamuona Magu kama shetani na wana sababu zao na nzito na kuna wanaomuona kama malaika na mkombozi na wana sababu zao pia
  2. A

    Tundu Lissu kweli ni mtabiri mzuri

    Lissu akili kubwa Mungu aendelee kumlinda kwa kazi maalum
  3. A

    Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

    Ramli chonganishi anastaafu mwezi huu
  4. A

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kwa sisi tuliopitia JKT enzi hizo tunajua nafasi itaenda kwa Lt Gen. Mkingule ambaye ni C of S.... swali sasa ni nani atakua C of S baada ya Mkingule kua CDF jibu ni ngumu kidogo ila kuna Maj Gen. kibao ila wawili likely mmoja kutoka kanda ya ziwa na mwingine kutoka upande wa pili
  5. A

    Marafiki na Jamaa wa Sabaya waangua kilio Mahakamani

    Kiukweli General Sabaya anatia huruma ila ndio maisha malipo ni hapa hapa duniani
  6. A

    Marafiki na Jamaa wa Sabaya waangua kilio Mahakamani

    Duh maisha yanaenda kasi sana miaka miwili iliyopita hata kichaa asingeamini haya yangemfika General Sabaya
  7. A

    Ni wakati wa kuwa na CDF Mwanamke baada ya kustaafu Venance Mabeyo

    CDF mwanamke popote pale duniani ni ngumu ingawaje C in C inawezekana
  8. A

    Hayati Magufuli miaka mitano kama 15

    Yote kwa yote bahari imetulia Mungu kamaliza ugomvi...Nape
  9. A

    Barua ya wazi kwa Mrisho Gambo, ufisadi wako tunautambua

    Huyu dada anafurahisha sana bila kutaja Chadema au Mbowe hapati genye
  10. A

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Mkuu pamoja na kwamba hakuna mwenye mamlaka ya kukupangia namna ya kutumia bando lako ni vyema ukawapotezea hao jamaa imetosha sasa
  11. A

    Kwanini awamu ya Tano na sita haziwapandishi vyeo viongozi waandamizi wa vyombo vya ULINZI na usalama?

    Awamu ya sita ipigeni mawe kwenye mambo mengine ila la kupandisha vyeo wanastahili pongezi siyo kama iliyopita
  12. A

    Demu wangu amepata kazi Casino. Je, nimruhusu afanye kazi hiyo?

    Muulize mshahara sh ngapi then mlipe asiende kama kwa sasa hauko vizuri hata ukimzuia hutafanikiwa....NB kama ana chura tutafaidi ipasavyo.
  13. A

    Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

    Hao wabunge ni wasaliti uwepo wao Bungeni ni batili lazima watimuliwe ndio wengine wateuliwe kwa kufuata taratibu za chama
  14. A

    Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

    Kuna wakati naona giza mbele na kuna wakati naona mwanga Kuna Mipango ya Mungu na kuna Mipango ya shetani Sioni mama akiendelea 2025 ....naona katiba mpya ikipatikana.
  15. A

    EWURA waongezewe Ulinzi, wanatufumbua macho

    Serikali yoyote inayojali raia wake wangefanya jambo kupunguza makali Kwa mfano Kenya wameweka ruzuku sisi wala hakuna haja ya ya ruzuku ni kuondoa baadhi ya kodi kwenye mafuta ambayo kimsingi haina maana zaidi ya washenzi wachache kuiba
  16. A

    Gazeti la Tanzania Daima mbioni kuingia mitaani

    Moja ya gazeti zuri na bora lililoondoshwa na wasiopenda kukosolewa hatimaye limerudishwa na mama wa demokrasia
  17. A

    Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Anayekaa ugenini hata mwezi ni afadhali kuliko Anayekaa nyumbani siku zote huku akihubiri chuki na ubaguzi
  18. A

    2025 yupo mpinzani wa kushindanishwa na Rais Samia Suluhu

    2025 ni mbali Sana ndugu ........ ya Mungu mengi
Back
Top Bottom