Search results

  1. Noti mpya tz

    Maaskofu wa TEC, waomba kukutana na rais Magufuli

    Waendelee kumuombea ili atubu
  2. Noti mpya tz

    Mchakato wa Mohammed Dewji kurudi uraiani kamwe hauwezi kuwaacha salama Mambosasa, Sirro, Robert Boaz na mzee Gulam Dewji

    Mimi swali langu lipo kwenye moto. kwamba watekaji walijaribu kulichoma moto gari lakini likakataa kuwa na polisi walikuta madumu ya petroli. Je walinzi hawakuuona moto huo?
  3. Noti mpya tz

    Jamhuri: Mo Dewji alikuwa na Microchip iliyokuwa ikirekodi kila kitu na kutuma London Uingereza. CIA wanachunguza kimya kimya

    Wakuu, gazeti la Jamhuri limeripoti kuwa Mo alikuwa/ana micro chip mwilini ambayo imerekodi tukio zima la kutekwa kwake na kupeleka report kwenye server iliyoko Marekani. Kama ni kweli basi tusubiri ya Jamal Khashoggi, Uturuki na Saud Arabia.
  4. Noti mpya tz

    Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

    Kabila la Bodi nchini Ethiopia. Wanaume huwa wana kipindi cha kushindana nani ni handsome kuliko wote. U handsome hutafasiriwa kwa unene ma kitambi. hivyo wanaume wanaoshiriki shindano hutunzwa sehemu maalamu kwa muda wa miezi sita au zaidi wakila saana na kunywa zaidi maziwa na damu ili...
  5. Noti mpya tz

    Je, uhuru wa kweli wa zanzibar ni upi; Mwaka 1963 au 1964?

    Ufafanuzi toka GT wa JF. Baada ya mapinduzi ya 1963 Zanzibar iliendelea kuwa huru? 1. Nani mkuu wa majeshi kwa sasa nchini Zanzibar? 3. nani Waziri wao wa mambo ya ndani kwa sasa? 4. Nitajie balozi mmoja anaeiwakilisha nchi ya Zanzibar nje ya nchi.
  6. Noti mpya tz

    Wanasiasa wamekwamisha "kesi" (mchakato) wa Nyerere kuwa "Mtakatifu".

    Mchakato kuhusu kumtangaza mtakatifu Julius Nyerere ulizinduliwa na Jimbo Katoliki la Musoma mwaka 2006. Je, umefikia wapi? Jibu la swali hili nisentensi moja tu kama tutakavyoona.“Mchakato” wa utakatifu ni jambo la kihistoria, hivyo unaeleweka kwa kuieleza historia yake. Ukristo ni dini...
  7. Noti mpya tz

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    kwa hiyo kwenye maelezo yao yote wewe umeona la kunyimwa visa tu? what a shame
  8. Noti mpya tz

    Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

    Hivi wabunge viti maalum hawaoni hizo juhudi? Natabiri kuwa baada ya bunge hili kuvunjwa kwa ajili ya uchaguzi nao wataunga mkono maana they will have nothing to loose.
  9. Noti mpya tz

    WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

    Kwa hiyo Mayalla unatutaka tuanze kutamka kuwa serikali imeshindwa tunaisadia? Usituchonganishe na serikali. Acha waboronge kabisa mpaka waombe poo Kama huyu mtu aliyezungumzwa hapa ni Lissu, halafu ni kweli Lissu yamekuja kumtokea mambo mabaya, inawezekana kabisa, aliyetoa kauli hii...
  10. Noti mpya tz

    Kangi Lugola: Nchi ipo salama, asitokee mtu akataka kuonesha wawekezaji kwamba nchini hakuna amani na usalama

    Kwa hiyo amefuta ile kauli ya kuwa wengine wanapotea kwenda kutafuta maisha? Kwa hiyo anadhani wawekezaji wanategemea taarifa toka kwa watanzania?
  11. Noti mpya tz

    Kwanini nguvu kubwa inayotumika kumtafuta "Mo" isitumike kuwatafuta Ben, Azory na waliotaka kumuua Lissu?

    Kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar "kutekwa Mo ni tukio jipya na la aina yake" ina logic kubwa kama itafafanuliwa alimaanisha nini? Kihisia; kila mtu anaweza kuitafasiri kwa jinsi anavyofikiri lakini.... 1. Yawezekana matukio ya nyuma ya watu kutekwa mchongo wote alikuwa anaujua na hivyo yalikuwa ya...
  12. Noti mpya tz

    Washauri wa Rais Magufuli walimpotosha, kumbe nahodha wa MV Nyerere hakuwa ‘deiwaka’

    ebu nielimisheni hapa. Ina maana mhandisi hajali chombo chake kinabeba uzito gani, kazi yake ni kuangalia kama kinaweza kutoka na kufika tu? What if kikizidiwa na mizigo is he not concerned? Huyu mhandisi bado ahojiwe vizuri si ajabu he was benefiting from the tragedy.
  13. Noti mpya tz

    Dr. Bashiru Ally: Hoja ya kudai Katiba Mpya haitakufa hadi tumeipata

    hii video ni ya zamani sasa hivi kasogezwa mezani hawezi kuyasema haya
  14. Noti mpya tz

    Siasa imeua kilimo, itatuua wote

    Inakadiliwa kuwa Tanzania 80% ya waazi wake wanategemea kilimo na ufugaji na kilimo ni uti wa mgongo kwa kauli mbiu ya taifa. Nimetembelea vijiji kadhaa mkoani mwanza, sumiyu, shinyanga, mara na Geita. Mwaka jana wakati wa msimu wa kilimo wilaya nyingi wananchi walilazimishwa angalau kuwa na...
  15. Noti mpya tz

    Zanzibar: Aliyeandika Mitandaoni kwamba Serikali ya CCM inawabagua wapinzani kwenye ajira, akamatwa

    Kwanini asishitakiwe kwa sheria za Zanzubar? what is the motive behind? Wawakilishi itabidi nao waziangalie sheria zao
  16. Noti mpya tz

    Wanaunga Mkono sawa, kwanini wanakuwa wagombea pekee ndani ya CCM? inamaana waliko CCM hawana sifa?

    Mkuu sio "badirisheni" ni "badilisheni"! haya ni maneno mawili tofauti. hapa neno moja halina maana kwenye kiswahili na lingine ndiyo lenye maana.
  17. Noti mpya tz

    Zanzibar: Aliyeandika Mitandaoni kwamba Serikali ya CCM inawabagua wapinzani kwenye ajira, akamatwa

    Hivi. sheria ya makosa ya mitandao iliyotungwa bara inafanya kazi hata nchini Zanzibar? Nifahamisheni.
  18. Noti mpya tz

    Dk Bana: Kuna tatizo ndani ya CHADEMA. Kama hawawezi kujifanyia tathimini, mimi niko tayari

    Ati nini? habha ha haaa we jamaa umetumia fasihi kali
Back
Top Bottom