Search results

  1. C

    WCB - majina mengne ni uswahili kha.

    Hata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona "Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
  2. C

    Msaada ..bodi ya wakurugenzi TRA ina memberz wangapi na majina yao pia

    Nahtaj majina ya bodi ya kurugenzi TRA mwenye kujua afunguke #hakshndkankitukwawanajamvi
  3. C

    Msaada wa dawa ya kupunguza misuli mikononi

    Nina misuli mingi mingi mikononi hadi nakosa amani na nashndwa kuvaa shati la mikono mifupi hasa kipindi cha jua kali (mchana) Mwenye kujua kama kuna mafuta ya kupaka au dawa za kutumia ili kuipunguza au kuondoa kabisa hii misuli mikononi tafadhali anisaidie au hata kwa ushauri tu...
  4. C

    Ninashangazwa na uchambuzi wa wanafunzi wanaostahili kupata mikopo

    Wakuu nimeona nilisogeze hili suala mbele yenu, jana tar 30.oct 2016 bodi ya mikopo yatangaza kufanya uhakiki mpya kutambua nani hastahili kupata mkopo likiwalenga mwaka wa pili,tatu na kuendelea wanaochukua coz za miaka mitano ...hili ni jambo la kushangaza na kukuchekesha kama siyo...
  5. C

    Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    Nimeangalia now mtu kapata mkopo. Mara ya kwanza alitemwa, education ndo course anayochukua pale nyerere so wengine angalieni mnaeza kuta maajabu kama haya.
Back
Top Bottom