Search results

  1. TANO MLIMA

    Tupo Msibani Jamaa hataki nipost picha zinazoonesha jengo lao eti ataaibika

    Nyie ndio wambea,huna namna ya kumstahi mwenzio?? amekataa usioneshe baadhi ya mazingira ya hapo nyumbani kwao(jengo)Kwa nini ulazimishe,unakomaa na picha,subiri zamu yako,msiba wa kwenu ndo utaruhusu picha aina zote.!,tafta namna nzuri ya kupiga picha,waombolezaji waonekane basi!
  2. TANO MLIMA

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    mayooo aibu yako..hadi sasa unacheka tu au umenuna.!!?
  3. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    si mara ya kwanza huyo rafiki wa magu kugombea na anatikisa vile
  4. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    watu gani? waliotajwa pale juu kwenye uzi au!kama ni hao sawa.
  5. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    inawezekana hujui kusoma vizuri
  6. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    kawasalimie sengerema
  7. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    hivi ndivyo 'eti'wanaojiita wanademokrasia wanavililia!!!
  8. TANO MLIMA

    Ushauri

    ,
  9. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    karibu jamii Forum
  10. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    katiba mpya!?huyaoni ya kenya?
  11. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    ni kweli
  12. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    tz ipo vizuri...wao wanavurugana tu
  13. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    wabongo wanasubiri outcome ndo wanasifia!
  14. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    wewe kilaza kweli kweli
  15. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    Hivi 'democracy ya kenya" walioililia kina G.Lema na P.msigwa ndo hiyo!!!!? wakiwa live,kule kenya walisifu kuwa kenya wako mbele sana kidemocrasia kuliko Tanzania!! mm naona sisi ndo tuko mbele kidemokrasia kuliko wao! wao ndo wanapaswa kuiga kutoka kwetu..... yaani Tanzania tuige hayo ya...
  16. TANO MLIMA

    Ama kweli Nabii hakubaliki kwao.

    huyu jamaa anajitahidi kweli kuleta maendeleo ya kweli lakini kuna baadhi ya watu hawaridhishwi na wanapuuzia utendaji kazi wake!(magufuli) -anajenga reli (treni ya umeme) ambayo kwa tanzania ilijengwa miaka zaidi ya mia iliyopita,leo anaijenga.!! anatimiza mradi mkubwa wa umeme wa...
Back
Top Bottom