Search results

  1. mjeledi

    Tanesco mwanza hawakumwelewa Ngeleja.

    Kabla ya kauli ya Ngeleja kuhusu kupungua Kwa mgawo wa umeme,wakazi wa bwiru tulikuwa twatendewa haki sana. Ila baada tu ya kauli ya ngeleja makali ya mgawo yamezidi na sasa twapata umeme kwa usiku kuanzia saa 4 na kuzimwa saa 12 asubuhi. Mathalani,jana umeme umekatwa saa 12 na ukarudi saa 9...
  2. mjeledi

    asalam alaykum

    wakubwa napiga hodi nyuma hii.
Back
Top Bottom