Search results

  1. safetymaster

    Vote for Louis Miquisson, Total CCL-WEEK 4

    Sasa si ajabu tena kuona mchezaji kutoka klabu ya Tanzania anaingia katika kinyang'anyiro cha tuzo ya mchezaji bora Afrika. Piga kura yako kupitia link hapa chini ili kumpa nguvu kijana kutoka Lunyasi. Hii pia itakuwa ni changamoto kwa wachezaji wengine! https://bit.ly/2Qk87eH...
  2. safetymaster

    Natafuta kazi yoyote, nina shahada ya elimu katika hisabati

    Habari wana jukwaa! Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya elimu katika hisabati ninaomba mwenye channel ya kuniwezesha kupata kazi anisaidie mana hali sio nzuri. Kama nilivyosema "natafuta kazi yoyote" itakayoniwezesha kujimudu mimi na kusaidia wazazi japo kidogo, nipo tayari Kwa hilo. Kazi...
  3. safetymaster

    Tatizo la madonda sugu kooni

    Wassalam wanajukwaa. Afya kwa mwanadamu ni tunu kubwa ambayo kuwepo kwake kunamuwezesha (binadamu) kwa kiwango kikubwa kuwa ni mwenye furaha na utulivu kwa ujumla.Ni dhahiri kwamba mwili wa binadamu unapokosa tunu hii adhimu huwa ni wenye kuathirika katika mambo mbalimbali kama vile...
  4. safetymaster

    Xmas Car Giveaway 2016 - Ranking | CAR FROM JAPAN

    Xmas Car Giveaway 2016 - Ranking | CAR FROM JAPAN Hii nayo ni betting???
  5. safetymaster

    Uhakiki ubora wa vyuo vya elimu ya juu na kuchelewa kwa pesa za kujikimu

    Nawasalimu wana jukwaa. Awali ya yote,mimi ni mdau wa elimu na hivyo natambua vizuri ulazima wa kuwepo elimu bora kuanzia msingi hadi elimu ya juu.Na kwa maana hiyo,naunga mkono UHAKIKI WA UBORA WA VYUO VYA ELIMU YA JUU. Jana ( November 21,2016) waziri mwenye dhamana ya elimu ametangaza kuanza...
Back
Top Bottom