Search results

  1. mwimbile

    Naomba kujuzwa...

    Takribani siku kadhaa zimepita matangazo mbalimbali Yamesikika juu ya wateja wa Mitandao ya simu ...ya kuwa unaweza kuhama kutoka mtandao mmoja na kwenda mwingine pasipo kubadili line yako.... Naomba kujuzwa faida na madhara ya kuhama mtandao pasi kubadili namba ...great thinker msaada nausubiri..
  2. mwimbile

    RC Iringa: Mtoto huharibiwa na wazazi ndani ya siku 1000 baada ya kutungwa mimba

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Amina Masenza. Amesema kuwa ulezi na makuzi ya mtoto katika jamii, mtoto huharibiwa na wazazi siku 1000 tangu kutungwa mimba. Ameyasema hayo alipokuwa anazindua klabu ya Kitivo cha Saikolojia mapema leo alipoalikwa kama mgeni rasmi katika chuo kikuu Iringa.
Back
Top Bottom