Search results

  1. N

    Nimechaguliwa Arusha Technical College naomba muongozo

    Wakuu mm leo nimepata Taarifa kuwa nimechaguliwa chuoni hapo kusoma Computer science Bachelor round hii ya 4 ila chuo kimefunguliwa tokea trh 24 oct na masomo wameanza leo kutokana ratiba inavyo semaa....Naomba kuuliza walioko chuon nipen utartibu upoje uko chuo...na vp mkopo tyr ushafika Nataka...
  2. N

    Kipara utotoni

    Ndugu Yang Anakipara Angali ni bado kijana..hivyo basi anauliziaa je Kuna dawa zozote za asili au mitishamba itayomsaidiaa coz hakipend katika ujana wake pia anapenda Timberland lkn hana vp anaeza saidikaa
  3. N

    Fourth Round

    Wakuu apa cjaelewa nivoandikiwa ivii inamaana Natakiwa kujaza tenaa....kana kwamba 4th round nimekosa tena au lah....
  4. N

    Bachelor Of science in General Udsm

    Wakuu napenda kuuliza hii kozii iko vp?coz nimeapply third round Na nikipangiwa ntaenda ku deal nann nikimalizaa na vp soko lake la Ajira
Back
Top Bottom