Search results

  1. helena

    Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    Mbwembwe tu hana lolote huyo,cajabu hata ile chembe ya maendeleo hana huyo
  2. helena

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    watanzania 2amke,2natakiwa kuinuka na mabango wote 2wasaporti madaktari we2 ili wasikilizwe kero zao haraka iwezekanavyo,cc ndio2naoteseka jamani,viongozi wao wataenda India kutibiwa,mimi ,wewe ambao India ye2 ni MUHIMBILI au KCMC si2takufa kama inzi?
  3. helena

    Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

    unackia but ur not sure,kwanini kumchafulia m2 jina,2naomba uthibitisho
  4. helena

    Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

    wasiwasi wako tu,kinachoangaliwa ni uwezo wa uongozi na siyo pande zipi.
  5. helena

    Wanaume hebu tuongee kidogo; TUJIREKEBISHE

    ukweli unaumaeeeeeeeeee!!!!
  6. helena

    Kushangiliwa kwa Kafulila kwenye Msiba wa Regia kunaashiria nini?

    inaashiria kukubalika kwake ktk jamii
  7. helena

    Regia alimkwepesha pacha wake na ajali

    Pole sana Remija na familia nzima kwa msiba wa mwenzetu Regia.Tulikupenda sana Regia ila mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.
Back
Top Bottom