Search results

  1. ivanorkababu

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Nilikuwa na safari ya kwenda Dubai nitafanyaje sasa
  2. ivanorkababu

    Kwanini askari wa chini JWTZ awasiliane na DCI?

    Nimesoma comment zako we mtu una roho mbaya sana , hivi mbowe akifungwa utafaidika nini ? Acha roho mbaya kama shetani ,
  3. ivanorkababu

    Jamani Pesa Imeadimika Mpaka Sana

    Pori la burigi chato Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ivanorkababu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni siku ya nne leo hapa mjini Hedaru hamna umeme kisa nguzo mbili zilianguka na meneja yupo amekaa tu ofisi hawa ndio wanaomsumbua muheshimiwa Rais mwenye number ya Kalemani naomba anitumie sasa hivi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ivanorkababu

    Vitu vya ndanivinauzwa

    Ubaharia umemshinda jamaaa
  6. ivanorkababu

    Wauzaji wa bidhaa used Dar wanapatikana wapi wakuu?

    Baharia anarudi kijijini
  7. ivanorkababu

    Nauza rice cooker l

    Mabaharia utawajua
  8. ivanorkababu

    Ogopa sana vijana wanaokula bata Kinondoni na Sinza

    Sisi wa moshi tuna chimbo letu linaitwa Red Stone kiukweli hapo utapata kila kitu ni chimbo la kijanja karibuni sana moshi
  9. ivanorkababu

    Historia ya neno Msela na Baharia

    Inatumiwa na wazeee wa kuchomoa betri
  10. ivanorkababu

    Historia ya neno Msela na Baharia

    Daaaaa hiyo inaitwa lubricant
  11. ivanorkababu

    GARI LA ISUZU TX LOG BASE

    Duuuu ni number d au c
  12. ivanorkababu

    Car4Sale Toyota starlet

    Hahahahahaha ,ni gari ingekuwa ni mwanamke tungeitaje vile
  13. ivanorkababu

    Natafuta wa kubadilishana naye Kitanda na godoro anipe T V

    Sasa utalalia hiyo TV au mbna maamuzi magumu ivo
  14. ivanorkababu

    Natafuta wa kubadilishana naye Kitanda na godoro anipe T V

    Ungekuwa moshi ningekupa unaweza tuma moshi
  15. ivanorkababu

    Mashine ya kutengeneza fance wire inauzwa

    Bei sh ngp na upo wapi
  16. ivanorkababu

    Tunasambazaji na kuuzaji chuma za aluminium aina zote pia kutengeneza milango madirisha ya aluminium aina zote

    Gari inauzwa Subaru foresta ya mwaka 2002 cc1995 bei million 9 simu 0625937928 IPO arusha
Back
Top Bottom