Search results

  1. M

    Watu wa Mwanza sio watu wa mchezo mchezo

    Walioiendeleza Mwanza sio Wasukuma, bali ni watu wa kuja, hasa Wahaya na Wachagga, nenda manispaa wakupe takwimu za biashara Mwanza uweze kuunganisha kwenye huo utafiti wako. Ni kama ilivyo kwa Dar es Salaam na hata Arusha, walioendeleza hii miji sio wenyeji, wenyeji zaidi wanakimbia, wageni...
  2. M

    Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote ni wajanja!

    Wewe unayesema hakuna kabila la Wachagga kwanza kabisa naamini wewe si Mchagga maana ungekuwa Mchagga usingeongea hivyo Kwa kukusaidia tu ni kwamba Wachagga wanafanana kwa kila kitu, hiyo tofauti iliyopo ni maeneo tu wanayotoka lakini mambo mengine yote wanaenda sawa Kwanza mila na desturi za...
  3. M

    Watoto wa kishua

    Pumbafu sana vyasaka kumbe ndio zenu mnachezea dada zetu halafu mnasepa, Sasa na sisi tutaendelea kugegeda vyasaka halafu ikifikia kuoa, tunarudi kwa dada zetu warembo wa kichagga Shenz type
  4. M

    Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Naomba niweke sawa kidogo Wachagga sio kabila, Wachagga ni Taifa. Simaanishi nchi namaanisha namaanisha Taifa It's not a tribe, it's a nation Wana bendera ya Taifa lao, Wana nembo ya Taifa lao, Kuna siku ya Wachagga duniani Oct 26 na walikuwa na Rais wao kabla ya figisu figisu za 1960's Wana...
  5. M

    Uhusiano wa Chagga na Kikuyu

    Sidhani kama nina cha kuzungumza na wewe unayetaka kuniaminisha kwamba Kimaro aliyeko Machame na Kimaro aliyeko Kibosho ni makabila tofauti, yani unataka kuniambia kwamba Massawe na Mushi walioko Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi na Rombo ni makabila tofauti Yani unataka kuniaminisha kwamba...
  6. M

    Uhusiano wa Chagga na Kikuyu

    Research zote za Wazungu, research zote za Wachagga wenyewe, research zote za wasomi wengine kwa ujumla zinahusu Wachagga, Wachagga, Wachagga, hakuna research inayomhusu Mrombo kwa kuwa hakuna kitu kama hicho, ila kuna Rombo kama moja ya eneo wanaloishi Wachagga, wewe unatokea huko na kujiamulia...
  7. M

    Uhusiano wa Chagga na Kikuyu

    Naona kila nikijaribu kukueleza kwa hoja zenye mashiko na mifano hai jinsi gani Wachagga ni wamoja na huwezi kuwatenganisha wewe unaendele kuleta maneno ya mitaani Labda nikusaidie ni kwamba Wachagga ni watu wenye asili ya mapinduzi na harakati, Wachagga kwa historia au hata ukijaribu...
  8. M

    Uhusiano wa Chagga na Kikuyu

    Wewe unayesema hakuna kabila la Wachagga kwanza kabisa naamini wewe si Mchagga maana ungekuwa Mchagga usingeongea hivyo Kwa kukusaidia tu ni kwamba Wachagga wanafanana kwa kila kitu, hiyo tofauti iliyopo ni maeneo tu wanayotoka lakini mambo mengine yote wanaenda sawa Kwanza mila na desturi za...
  9. M

    Uhusiano wa Chagga na Kikuyu

    Wewe mtu unakosea sana, kwanza unapaswa kujua Kichagga cha kuanzia Marangu Mwika yote mpaka Mamba, Marangu Mtoni, Kirua Vunjo, Kilema, Old Moshi yote mpaka Uru ni lugha moja kwa almost 100% tofauti ni matamshi machache ambayo unaweza kuzungumza na mtu hata lisaa lizima mkiwa bado hamjataja hayo...
  10. M

Back
Top Bottom