Search results

  1. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Zikiwa zimesalia saa kadhaa taifa likafanye uamuzi. Ningependa kupata mrejesho wa hilo swali hapo juu.
  2. Liganga

    TAHADHARI: Uwekezaji katika Kilimo

    Mungu akijalia ntaendelea kuwajuza kupitia post hii kila nipatapo muda.
  3. Liganga

    TAHADHARI: Uwekezaji katika Kilimo

    Tushirikiane katika kuwaelimisha wenzetu. Kilimo ni sayansi kubwa sana hasa ikiwa lengo lako ni kufanya kama biashara, nadharia ya zamani kuwa mtu yeyote mwenye ardhi, mbegu na mbolea anaweza kuwa mkulimabiashara siyo sahihi.
  4. Liganga

    TAHADHARI: Uwekezaji katika Kilimo

    Baada ya kupitia post mbalimbali juu ya kilimo biashara nimeona leo niwape ushauri baadhi yenu,nimeona wengi wenu mnahamasika sana na hizi post au mmefanya maamuzi kutokana na hizo post. Sio jambo baya lakini lahitaji kuboreshwa, mwamko wenu ni kiashiria kizuri. Nilipokuwa nyumbani nilikutana...
  5. Liganga

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Taadhari, Kuna kitu kinakosekana katika michanganuo yote niliyoiona hapa. Uzalishaji wa mazao sio kama wa kiwandani,i.e the volume/quantity of INPUTS determines the level of OUTPUT. kuna vitu vitatu muhimu sana kuvizingatia na kuviweka katika hesabu, navyo ni: () Magonjwa...
  6. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Je, m/kiti amecheza vema? Je, m/kiti ameweka msingi wa kukivusha chama na kukielekeza kwenye ustawi?
  7. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Cha msingi zaidi ni maamuzi ambayo yanalenga kuhakikisha ustawi wa chama na taifa, maana kwa mwaka huu wa 2015 mzani bado upo sawa yeyote kati ya chama TAWALA na UKAWA anaweza kamata dola ikiwa mchezo utachezwa kwa haki bila kusiskiliiza matakwa ya wadhamini.
  8. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Kuna wanaoamini kuwa historia ina desturi ya kujirudia, japo si kwa asilimia mia
  9. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Kwa mara nyingine tena siasa za visiwani zilimpa m/kiti changamoto kwenye mbio za kumpata mrithi wake 1985. Chama kilidhibit idadi ya wagombea kuwa WATATU tuu. Wakipambana; - Alhaji Hassan Mwinyi - Bw. Rashid M. Kawawa - Dk. Salim H. Salim Vita ilikuwa ni kali pale mpambano ulipobaki kwa...
  10. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Pia nguvu ya m/kiti kumudu changamoto ilijidhiirisha tena mwaka 1984, pale alipoitisha kikao cha dharura Dodoma kuchukua hatua dhidi ya yaliyokuwa yanajili Visiwani. Pale Dodoma paliwaka moto, makundi mawili kutoka visiwani yakipambana, moja kumzamisha Alhaj Jumbe na lingine kuhakikisha anabaki...
  11. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Sifa moje kuu katika uteuzi wa Alhaj jumbe ilikuwa ni kutokuwa na MAKUNDI. Hekima za m/kiti ziliegemea hapa zaidi katika kuwashinda wajumbe wengine. Wajumbe waliambiwa kumteau Kanali kumrithi Hayati Karume ingetafsiriwa kuwa mauaji yale yalikuwa ni mapinduzi ya kijeshi. Hakika wajumbe wote...
  12. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Hii kazi pia kwa kiasi fulani inafanana na namana m/kiti wa wakati ule alivyokabiliana na changamoto za kumpata mrithi wa Karume mwaka 1972. Kanali Seif Bakari alikuya ndiye mwenye nguvu, ndiye kipenz cha wengi, ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo sera za utawala wa hayati...
  13. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Kiongozi ni maono au kwa lugha nyepesi ni kuiona kesho kabla haijawadia na kisha kuwashawishi wenzio kuchonga njia kuelekea kule kiongozi anapoamini kuwa ni sahihi. Haijalishi maamuzi yalifanyika mwaka gani, msingi ni je tupo kwenye njia sahihi? Je maamuzi hayo yanatupeleka kwenye ustawi zaidi...
  14. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    M/kiti anawajibika kuendesha kikao vyema na kuhakikisha maamuzi sahihi kwa mustakabali wa chama yanafikiwa. Kila mjumbe anao uhuru wa kuchangia kwa kadiri ya agenda zilivyo lakini maamuzi ufikiwa na kuridhiwa na wajumbe wote.
  15. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Uongozi ni kalama, Ni katika mazingira kama haya ndio kiongozi mahiri ujidhihirisha.
  16. Liganga

    CCM: Mwenyekiti na changamoto

    Baada ya muda mrefu sana wa kuwa pembeni nikitazama yanayojitokeza nimepata msukumo wa kutafakari kwa kina kazi iliyombele ya Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi. Nikiitazama hali hii nakumbuka miaka ya 1934 pale Adolf Hitler na chama chake walipokamata madaraka ya Ujerumani. Katika vuguvugu la...
  17. Liganga

    FLIGHT 370: Kupatikana kwa ndege ya abiria ya shirika la Malaysia - Inawezekana?

    Nashukuru FaizaFoxy kwa maoni juu ya kichwa cha andiko hili na hasa Moderator kwa kuchukua hatua. Kwa wasomaji waliokwazwa kwa namna yoyote niwieni radhi. Kuna mitindo mingi ya uandishi wa habari, makala na vitabu. Nahamini wengi wenu mmepata kusoma fasihi au lugha katika ngazi mbalimbali...
  18. Liganga

    FLIGHT 370: Kupatikana kwa ndege ya abiria ya shirika la Malaysia - Inawezekana?

    Maswali yamebaki bila majibu kwa muda mrefu sasa lakini cha kushangaza ni jinsi taarifa zinavyobadilika kila siku kuhusiana na nini kimetokea kwa ndege hii. Jambo la kwanza ilisemekana ndege imeangushwa na magaidi na tukaoneshwa kuna abiria wawili wenye asili ya taifa la Iran ambao walipanda...
  19. Liganga

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Nimekuelewa. Ifuatayo ni tafsiri, Dunia imezalisha wanasiasa na vyama vingi nguri, hivyo vyote vitapita lakini taifa litabaki. wito kwa wote ni kusimamia ukweli na ustawi wa taifa letu.
  20. Liganga

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    As we analyse the unfolding situation betwen CHADEMA and Zitto Kabwe, I would like to share with you some words from a master mariner. When i learnt sailing this old man gave me one very important advice especially when you are on the helm of a giant vessel, "The course you chart is of...
Back
Top Bottom