Search results

  1. A

    Naomba kujuzwa Apps nzuri ya kuficha Picha na SMS

    Ndugu zangu habari, Refers to the heading above, jamani naombeni msaada Applications nzuri za kuficha picha, videos na SMS. Yote haya shida ni Mke wangu ni shushushu balaa. Asanteni.
  2. A

    TEAM KIBA TUJE APA

    Yooah.. Habari zenu wana jamvi!!! Ivi tatizo la ALI KIBA ni nin hasa?? Uyu mtu mie ni shabiki wake sana ila ana niangusha kinoma noma.. Uku mtaani sie team kiba tunaumbuka. Tangu WASAFI FESTIVAL ianze atuna amani kabisa. Kwanin na yeye asianzishe ata festival yake jamaani??? kwanin kila siku...
  3. A

    Waalimu

    Salama jamani? Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa kinavyosema, ivi ni sahihi Mwalimu kutoka na mwanafunzi?? Inashangaza hasa sehemu za vijijini waalimu wanajiolea tu vitoto vya shule. Kwa mtazamo wangu naona sio sahihi. Imagine mtu awe ana chezea kipochi manyoya cha mwanao jamani...
Back
Top Bottom