Search results

  1. Grey256

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Umefanya kazi ya kitume kaka....Utalipwa mbinguni.
  2. Grey256

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Mwanamke msaliti sio wakusamehe....
  3. Grey256

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Dah hivi mtu unakua umekula nini mpaka unakua zuzu na mjinga kiasi hiki?
  4. Grey256

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Kijana utagongewa sana mpaka akili ikukae sawa kama bado unadanganywa na machozi ya mwanamke
  5. Grey256

    Tumsaidie huyu kimawazo

    Single mothers
  6. Grey256

    Moyo wangu umeangukia wanawake watatu humu na wote wamenikataa

    Una uhakika gani kua hao uliowataka ni wanawake we mzee?..
  7. Grey256

    Naombeni ushauri, nataka nizae naye tu kisha nitulie

    Kijana hilo chaka unalotaka kuingia vaa mabuti...Miba unayoenda kuikanyaga hata kwakuzaa nae tu hautaisahau.Binafsi hua sielewi inakuaje vijana wa 2000 mna akili ndogo na zenye kuendeshwa na hisia kijinga namna hii.
  8. Grey256

    Sauti ya umauti masikioni mwangu

    Mdaiwa hafungwi mkuu...Kemea hiyo roho ya mauti,mwanaume hakimbii mapambano,omba Mungu sana,songa mbele bila kukata tamaa.
  9. Grey256

    Hatimaye nimempata!

    Vina muda basii
  10. Grey256

    Mwanamke uliyeolewa, usifanye makosa haya

    Naunga mkono[emoji1666]
  11. Grey256

    Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

    Single mother kama hujaona kaburi la aliyemzalisha kaa mbali,mita mia!
  12. Grey256

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Timua kahaba huyo mkuu...Mwanamke asiyefunga miguu sio wa kulea ndani
  13. Grey256

    Wanaume kulala chumba kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani

    Kuwaza hayo mambo anayowaza mleta mada ni dalili mbaya kwa mwanaume...Laanakum!
  14. Grey256

    Ipi ni bora kati ya hizi

    Jichanganye!
  15. Grey256

    Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

    Hakuna mwanamke wakuoa hapo mzee...Huo ndio ukweli mchungu.
  16. Grey256

    Yanga na Simba waanzishe vikundi vya kuchekesha - Vigodoro!

    Ahmed tulia bna...Hili ndio soka letu,unataka tuige mambo ya wenzetu wakati huko unakotaka tuige hata hayo mambo ya usemaji wa timu hakuna...Utakula wapi sasa tukiwaiga??
  17. Grey256

    Nimechanganyikiwa msaada wa haraka

    Ushauri wa single mama huo...Kaa kitaalam
  18. Grey256

    Kwanini wanawake hawapendi kuolewa na masingle faza?

    Hii hoja naiunga mkono,mguu na kichwa.
Back
Top Bottom