Search results

  1. Aen Urner

    Msaada kwa anayefahamu TINDWA MEDICAL AND HEALTH SERVICES CO LTD

    Kuna changamoto gani pale mkuu, tupeane abc
  2. Aen Urner

    Msaada kwa anayefahamu TINDWA MEDICAL AND HEALTH SERVICES CO LTD

    kuna shida gani pale mkuu, nifungue kdgo nisije nkajifunga kamba! Karibu.
  3. Aen Urner

    Kampuni huchukua muda gani kukupatia mkataba wa maandishi?

    Mkuu mimi sijauliza mambo yaliyokutokea, me nataka kujua kama kuna utaratibu wa kisheria ama la.
  4. Aen Urner

    Kampuni huchukua muda gani kukupatia mkataba wa maandishi?

    Wakuu naona kama mnazunguka mbuyu..baada ya kufaulu usaili nikaitwa kwenye negotiation ya salary na vitu vingne, nikaambiwa nitataharifiwa kuchukua mkataba wa maandishi, ndo mauliza kwa mwenye kujua taratibu huwa inachukua max siku ngapi?
  5. Aen Urner

    Kampuni huchukua muda gani kukupatia mkataba wa maandishi?

    Wakuu, hivi ni muda gani kampuni huchukua kukupatia mkataba wa maandishi ili uupitie baada ya kukubaliana kwa maneno?
  6. Aen Urner

    Ni lazima kampuni/taasisi kutoa allowances kwa waajiriwa?

    Nimekupata vizuri mkuu, ubarikiwe.
  7. Aen Urner

    Ni lazima kampuni/taasisi kutoa allowances kwa waajiriwa?

    Ahsante mkuu! Ila ningependa kujua kama unazipambania upewe wakati wa contract negotiation ama huwa fixed na constant kulingana na kampuni?
  8. Aen Urner

    Ni lazima kampuni/taasisi kutoa allowances kwa waajiriwa?

    Je ni sheria? Kama ndio allowances zenyewe ni zipi? Na ni kiasi gani au inategemea na kampuni? Wajuvi karibuni.
  9. Aen Urner

    DCS Engineer at Lake Cement January, 2024

    Ukisoma vizuri utagundua ni kazi isiyohitaji experience. Omba tu.
  10. Aen Urner

    Msaada kwa anayefahamu TINDWA MEDICAL AND HEALTH SERVICES CO LTD

    Dah, hiki kizazi cha google aiseh!
  11. Aen Urner

    Msaada kwa anayefahamu TINDWA MEDICAL AND HEALTH SERVICES CO LTD

    kwanini 'cha kisanii' nipe abc mkuu
  12. Aen Urner

    Msaada kwa anayefahamu TINDWA MEDICAL AND HEALTH SERVICES CO LTD

    Nimeitiwa interview, wapo pwani kisarawe, naomba taarifa saidizi namna ama njia nyepesi ya kufika, mimi natokea Dar. Kama kuna mdau mwngine kaitwa pia ni vizuri tukifahamiana. Natanguliza shukurani!
  13. Aen Urner

    Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

    Umesomea uhandisi wa nini mkuu?
  14. Aen Urner

    Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

    Take it easy mkuu! Hata mwalimu anaweza kuwa mhandisi mzuri bila hata kusomea, ni kujifunza field tu namna kazi zinafanywa! Mifano ya watu kama hao ipo mingi, unakuta mtu ni engineer, mwalimu, mwanasiasa, mwandishi n.k kwahiyo nikisema nina uwezo wa kufundisha, ninamaanisha
  15. Aen Urner

    Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

    Nina bachelors degree mkuu.
  16. Aen Urner

    Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

    Shukrani mkuu, najaribu kote kote
Back
Top Bottom