Search results

  1. E

    Wale ambao hawakumuelewa Dr Slaa alipohoji kama Lowassa ni asset au liability nadhani sasa mmeelewa

    Mwacheni mzeee wawatu ajichungie mifugo yake jamaniiii. maaana suasa na ndoto za matumaini speed ya JPM imezisambaratishaaa. Yaaani anatia hurumaa
  2. E

    Madiwani watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wamejiuzulu

    Ukiwa na akilitimamu huwezi kuwamwanachadema kwa sasaa
  3. E

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Hata wafanyejeee. sisi tutazilinda rasilimali zetu jamaaaa. madini ni yetuuu
  4. E

    Je, Lowassa akiamua kurudi CCM, CCM itamkataa?

    Kila mtu ana uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya tanzani. wakirudi watapokelewaaa
  5. E

    Ujumbe wa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa Dr.Vincent Mashinji kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

    Haya mapovu yote mtanyamanza tyuu baada ya matokeo kutangazwaaa. Ngoja tukae kimyaaa wanyongee
  6. E

    Viongozi wa CCM wajifunze kwa wenzao wa Jubilee ya Kenya

    Ya wakenya yanatuhu ni sisi,, hata tukikuuliza wewe sisi uchaguzi wakenya unatuhusu nini Na wakati Mungu kashatupa jembe letu JPM??
  7. E

    CCM inafaa kutuongoza tena mwaka 2020?

    Hakuna anayeongozwa na CCM, isipokuwa kiongozi mahiri anayeongoza kupitia chama cha ccm. sisi hatuna shida na chama isipokuwa tunataka aina ya mtu yeyote kwa chama chochoteee. hivyo kusema ccm inaongoza sio kweli kwani ccm ni chama na kiongozi anayetuongoza anatakiwa kutuongozaaa. Kwa hiyo shida...
  8. E

    Uchaguzi Kenya: Uhusiano wa Kenya na Tanzania kuwa shakani iwapo.......!!!

    Eti EDO alienda kuwaomba wamasai wamchague uhuru eti kwa kuwa nikiongozi wa malaigwanani. hiii sikutumia ukabiala kwa inchi ambayo wanatukuza ukabila?? Hili la edo kwenda kenya sikuliunaga mkoonooo. maaanayake hata sisi itafika mahala tuwe tunahamasisha makabila yetu yawe yanachagua kabila...
  9. E

    Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Hivi ameongea dakika ngapi?
  10. E

    Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Hiiii ni hatariiii. kwelikweliiiii Ngoja tusubirie wachambuzi wa kisiasa wataongea nini. Ila tuwemakini tusije sababisha ugomvi na majirani zetuuuuu
  11. E

    Nakujibu mwanasheria Halima Mdee kama nilivyomjibu David Kafulila

    Toka 2015 walivyotubadilishia gia angani mimi hawa wapinzani siwaamini tenaaaa kabisaaa Nakupongeza mleta maadaa .umetufumbua machooo
  12. E

    Upinzani waanza kumdai mrithi wa Prof. Muhongo

    MIMI NILIDHANI UPINZANI WANAMTAFUTA MRIRHI WA DR. WILLBRODI SLAA. KUMBE NI MAPOROJO TYUUU
  13. E

    Geita: CHADEMA Wavuna Wanachama 60 Wa CCM, Wengi Wajihusisha na Tundu Lissu

    MAIGIZOOOOO. SUBIRI RIPORT YA MADINI ITOKE KAMA CHADEMA ATABAKI ATA MUMOJA TANZANIA NZIMAAAA
  14. E

    Mkemia Mkuu: Mkojo wa Wema Sepetu ulikuwa na bangi

    Hata na yule jamaa alie kataa kuchukuliwa aliogopa kugundulikaaaa. Xafi xaaana serikali ya awamu ya tano kwa umakini muliotuonesheaaaa
  15. E

    Yatakayotokea Republican yatatokea CCM 2020?

    Bado matamko mlio jifungia masaa 48 ufipa hayajaisha tuu?? Tumewachoka kwakweli. JPM atawauguza xaaanaa. na bado hadi mtaomba pooo
  16. E

    WanaCCM waanza kumstukia Rais Magufuli

    Bado matamushi makao makuu ufipani hayajaisha tyuu mpaka mnaota ccm?? Kwa kujifariji mnajitaidiii.
  17. E

    Gazeti la MwanaHalisi latakiwa kuomba radhi

    Haya magaze ya hawa jamaaa . mimi huwa siyasomi toka mwaka juzi mwezi wa nane Gazeti langu ni mwanainchi tyuu
Back
Top Bottom