Search results

  1. Pazi na Jogoo

    Wasiojulikana Mikononi mwa Dkt. Christopher na Kilawa

    Kuna kitu nataka nisema,,,,,Au basi
  2. Pazi na Jogoo

    Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Mtazamo wangu, kwanza kwa Haraka na uhakika vifo vya aina hii vinahusishwa na ushirikina moja kwa moja, nikimaanisha kwa watu hawa wanaoeleza kufa, kuzikwa na hatimaye kufufuka,,,,,tukumbuke uchawi ni dhana inayoishi, hivyo ukifuatilia kwa makini kutoka kwa Huyo mtoto wa geita na mwingine wa...
  3. Pazi na Jogoo

    Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania??

    Watajwe, watumiaji pia wamo!
  4. Pazi na Jogoo

    Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

    Wamasai saiv wanakunywa Energy hawa hawana madawa washakuwa vishoka!
  5. Pazi na Jogoo

    Baba anataka kunidhulumu Nyumba yangu. Kesi bado inanguruma Mahakamani

    Unajua ni kama kulipa kodi ya nyumba kisha ukafurahi na kujisahau kwa kuona umemkomesha mwenye nyumba wako kumbe badae utatakiwa kulipa tena kodi!
  6. Pazi na Jogoo

    Huu muujiza wa maombi na mimi umenishtua

    Unachotaka kusema ni kwamba dunia hii haina watu wa aina hiyo mkuu???
  7. Pazi na Jogoo

    Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Kwani wakati Ule wa Lugola si aliruhusu safari kufanyika usiku na mchana? Nani alitengua lile agizo?
  8. Pazi na Jogoo

    Tovuti zenye maudhui ya ngono zaanza kupatikana tena kwa watumiaji walio Tanzania

    Hahaha, mkuu inatakiwa ujiapize ukiwa chooni, apa kisha kunywa maji alafu yateme kwenye shimo la choo yaende directly kwenye shimo,,,,,mi nilifanikiwa!
  9. Pazi na Jogoo

    IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    Unajua wagonjwa waliopona ni wale walioamini kuwa wanaumwa, wakakubali matibabu na mwisho wakapona, sasa wewe mkundugu yangu hujaamini kama unaumwa hivyo ni ngumu kupona! Ili upone kubali kuwa unaumwa!
  10. Pazi na Jogoo

    IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    Jina na Mungu muumba mbingu na nchi ni Jina kuu, huwa linaanza kwa herufi kubwa hata kama ni katikati ya sentensi. Sijui wewe unamsema Mungu gani, By the way watu wa aina yako walikufa kwenye vita ya maji maji,,,,wengine waliobaki wakafa kwenye vita ya kagera sijui uliponaje aiseee!
  11. Pazi na Jogoo

    Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

    Ukibainika kwamba umetoa rushwa, ukibainika kwamba umepokea rushwa[emoji23] wazanaki wanasema manzi ganyanza wote wamekwenda na maji, , , , , ,
  12. Pazi na Jogoo

    Mnaokataa Chato isiwe mkoa, kuna swali moja kwenu

    Ndiyo maana kuna ulazima wa kupata katiba mpya, siyo mtu anajiamulia tu kufanya jambo fulani na kesho tukiamka tunakuta jambo limetendeka!
  13. Pazi na Jogoo

    Uelewa wa Mambo kwa watangazaji wa hizi FM Radio ni finyu mno

    Taja hizo radio, au unaogopa kanuni??? Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  14. Pazi na Jogoo

    Kwasababu ya Kwampalange na kwenye mtaro mimi Naungana na BASATA

    Hiyo kwa Mpalange mbona washaimba muda mrefu, kaimba Mwinjuma Muumini! Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  15. Pazi na Jogoo

    Wapi napata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nimemkumbuka pia mganga wa pale Ukerewe, alimrudishia jamaa bida zake zilizoibiwa, aliwapa watu wapige kazi boda mpya 3 alafu wao wakajiona masonko wakatoroka nazo kila mtu akahama mkoa, kilichofuatia kila mmoja wao anakuja mbio kutoka huko alikokuwa anapiga mwano anamtafuta mwenye boda na...
  16. Pazi na Jogoo

    Wapi napata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Kuna yule aliyemning'iniza mtu utumbo kupitia sehemu ya haja kubwa pale Kagongwa Shinyanga, dah yule mtaalamu hafai aisee yaani hakuna kuvaa nguo maana ngoma imetoka kama 1m hivi hadi inaburuza chini ila anasema huyu hafi ila itateseka tu hafi pale atapokiri wizi wake!
  17. Pazi na Jogoo

    Safari yangu ya jana imenisaidia kuitafakari imani yangu kwa dakika kadhaa

    Treni ya Nchi gani? Au tz wamefikia kiwango hicho kwa sasa kwenye utoaji wa huduma zao za usafiri wa treni?
  18. Pazi na Jogoo

    ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

    Nilishamwambia mke wng, siku akinichoka aniambie na ntamsikiliza, nami vivyo hivyo, hakuna cha kuita wachungaji, wala kwenda bakwata, au kuita wasimamizi wa ndoa, Yaani tunamalizana kimya kimya bila kelele!
  19. Pazi na Jogoo

    KUMEKUCHA: Tanzania Kupokea 5% Ya Project Bomba La Mafuta Kutoka Uganda, Kinyume Na Magufuli Alivyowaaminisha Raia Wake

    Mimi tangu PM aseme uongo tena ndani ya msikiti siwaamini viongozi wa nchi hii. Eti ooh jiwe yupo vzr anachapa kazi za kiofisi ilihali mtu keshaenda akhera madukani.
Back
Top Bottom