Search results

  1. Mzanaki

    "....utakuta kuna Wazanzibari na Wazanzibara!..., utakuta hivyo!"

    Na pia wamo "Watanganyika na Watanganzibar!; Hii rasimu ya katiba itawaanika wote hawa waliotabiriwa na babu yangu Nyerere. Mimi shida yangu ni utitiri wa hawa maraisi!...Tunahitaji raisi wa shirikisho halafu hao wengine wawe mawaziri wakuu!..Waziri mkuu wa Tanzania bara na Waziri mkuu wa...
  2. Mzanaki

    "....utakuta kuna Wazanzibari na Wazanzibara!..., utakuta hivyo!"

    .......na pia wamo "Watanganyika na Watanganzibar!. Mimi shida yangu ni utitiri wa maraisi kwenye hii rasimu ya katiba!...Tunahitaji raisi wa shirikisho halafu hao wengine wawe mawaziri wakuu!..Waziri mkuu wa Tanzania bara na Waziri mkuu wa Zanzibar. Hawa ndio wawe watendaji wakuu katika hizi...
  3. Mzanaki

    Matanuzi na kufuru za Mawaziri feki wa Kikwete

    BAADHI ya madereva wa mawaziri na naibu wao wamewashutumu mabosi wao kwa kuwatumia zaidi kama wafanyakazi wa nyumbani, jambo ambalo ni kinyume cha taratibu. Madereva hao pia wamelalamikia magari ya serikali kutumika vibaya ,kinyume na taratibu za kazi.Baadhi yao waliozungumza na Mwananchi kwa...
  4. Mzanaki

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    Ugua pole!...Kazi waliokupa ya kusafisha chama chetu hapa JF ni ngumu sana.Najua mmepewa hii kazi vijana kadhaa,endelea kugangamala!.
  5. Mzanaki

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Kifo cha mchawi huyu mashuhuri wa serikali kinaonyesha kuwashtua watu wengi ambao kwa njia moja au nyingine walimtegemea mchawi huyu katika masuala mbalimbali ya kimaisha na kisiasa.CCM na mwenyekiti wake Kikwete ni baadhi ya watu walioinjoi kwa kiasi kikubwa utaalam wa mchawi huyu...
  6. Mzanaki

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    Hii ni dalili muhimu kwamba spika Makinda hawezi kulimudu Bunge la kumi.Kuchapana bungeni ni dalili nzuri ya kuonyesha seriousness kwenye maswala ya msingi hasa unapodeal na wabunge wanafiki kama wa CCM.Jana wamepitisha kibabe muswaada wa SEZ na EPZ kwa kura huku wakipuuza mapendekezo ya msingi...
  7. Mzanaki

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Ndugu zangu uimara wa chama unategemea sana uongozi thabiti wa mwenyekiti wa chama.Hawa wote mliowalazimisha kujiuzulu walikuwa wanafanya hayo walioyafanya kwa baraka za mwenyekiti!... Kumbukeni msemo wetu wa enzi zile "Zidumu fikra za mwenyekiti"...hii ilitokana na uongozi dhabiti wa Mwalimu...
  8. Mzanaki

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Kwa mawazo yangu, muuaji mkubwa wa CCM ni mwenyekiti wake Jakaya Kikwete ambaye rafiki zake walio mafisadi wanafanya lolote wanalotaka.Kwanza wakisikia uteuzi huu watauliza....'Who is Mukama by the way?...Who is this young man Nape?...Huwezi kutenganisha perfomance ya Kikwete serikalini na...
  9. Mzanaki

    Wahadhiri waeneza siasa za chuki vyuoni

    Inanikumbusha sinema ya "SARAFINA".....Serikali ya Kikwete inaongoza nchi kwa wasiwasi kama serikali za wakoloni na ile ya makaburu wa Afrika kusini enzi hizo.Shughulikieni matatizo ya wananchi acheni kucheza mipasho ikulu!.
  10. Mzanaki

    Tanzania ipelekwe mirembe kwa nguvu!...ni mwendawazimu anayekataa kusaidiwa.

    Ni jambo la kawaida kwa mgonjwa wa akili kukataa kata kata kuwa yu mgonjwa na badala yake huwaona wanaomsaidia kuwa ndiyo vichaa.Tanzania ya leo haina tofauti na kichaa huyu na inapaswa kupatiwa dawa la sivyo itaishia pabaya.Tanzania ya leo Kila waziri ana serikali yake mwenyewe,waziri mkuu...
  11. Mzanaki

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Ikiwa CDM wamenunuliwa kufanya wanachokifanya sasa, basi WaTZ wamshukuru sana huyo aliyewanunua!. Kwanza wamenunuliwa kwa bei ndogo kulingana na kazi wanayoifanya!..Hivi kweli kazi ya kuwafungua macho Watanzania milioni 41 Kupigana na mafisadi wakubwa zaidi ya 200,Kukabiliana na wabunge wengi...
  12. Mzanaki

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Hili si jambo la kupuuzia hata kidogo!..Wapo wanaomshangaa Mwakyembe eti msomi mzima anazungumza mambo ya ushirikina!.Swala hapa sio ushirikina,..swala hapa ni ploti ya kuwauwa viongozi wapambanaji wa ufisadi kwa misingi ya udini.Ploti ambayo inawashirikisha magaidi wa kikudi cha Al Qaeda/AL...
  13. Mzanaki

    C.C.M tukiri udhaifu!!

    Umesema ukweli kabisa!...Hata Obama baada ya kuingia madarakani na kuona upinzani wa Republicans unazidi alilazimika kutembea majimboni kutafuta kuendelea kuungwa mkono kwenye sera zake mpya za afya na ajira.Hakulalamika kama Kikwete kusema kama kuna hati miliki ya ikulu na kwamba ukishaingia...
  14. Mzanaki

    Alama za nyakati siyo maandamano ya chadema pekee.

    Sakata la Dowans, nani alaumiwe ? Sakata la Dowans, nani alaumiwe ? Rais Jakaya Kikwete 9222 (77.2%) Baraza la mawaziri 803 (6.7%) Wanasheria na Mawakili 770 (6.4%) Shirika la Umeme (Tanesco). 510 (4.3%) Wabunge wa CCM 428 (3.6%) Wabunge wa upinzani 219 (1.8%) Number of...
  15. Mzanaki

    Ni bora CHADEMA ifutwe

    Ninaheshimu sana mawazo yako ila naona kama yana sura ya kutaka kuchokonoa zaidi(provocative) kuliko mtazamo halisi.
  16. Mzanaki

    Kikwete anapwaya, "he is not president enough"

    Mtu yeyote hajulikani uwezo wake wa kiuongozi kwenye nafasi kubwa kama ya uraisi mpaka amekuwa subjected kwenye "vital leadership tests".Haya ni matukio makubwa yanayosababisha hofu kwa kiongozi na hapa unaweza kutoa mfano wa maandamano ya CHADEMA, Mabomu ya Mbagala na Gongo la Mboto, Kukosekana...
  17. Mzanaki

    Chadema ndani ya Bukoba

    Ni kweli..ndio maana serikali makini ingekabiliana na CHADEMA kwa kuthibiti mfumuko wa bei za bidhaa, kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kubana matumizi ya serikali ili kujenga uwezo wa serikali kuwapunguzia wananchi ugumu wa maisha n.k.Tatizo raisi huyu hana strategists; na aliowaweka wengi...
  18. Mzanaki

    Kikwete anapwaya, "he is not president enough"

    Kwa mtu mwenye maono ya mbali na busara aliyefuatilia kwa makini uongozi wa JK tangu mwaka 2005 hata kama mtu huyo ni mkereketwa wa kutupwa wa CCM kama mzee Msekwa,Kingunge nk. atakuwa amejiridhisha kuwa kiongozi huyu anapwaya.Kwanza kwa kumlinganisha na aliyemtangulia yaani Mkapa na pia kwa...
Back
Top Bottom