Sikiliza wewe sisi tulikuwa tukila nyama hii kabla hatujajua ni nini hawa mapepo huwa wananuwizia wapochinja tukaja gundua ni sehemu ya ibada zao za makafara ndio maana na sisi kama katiba inavyosema tuna uhuru wa kuamini na kuabudu tutakacho tusilazimishane kula nyama zilizochinjwa na hao...
Haya sasa tayari unakiri kuwa haitakiwi umuamini sana! kwa hiyo uwe mguu ndani mguu nje? jamani hayo si yale yale tunayoyakataa kwa nini mtu usifanye utafiti wa kutosha kuhusu mtu na ukishajiridhisha kuwa ndiye wako mchukue au chukuliwa nae, na hapo uwe tayari kuvumilia. lakini pia nakubaliana...
Kwa hiyo ili tusiwe watu wa ajabu ni pale tutakapokuwa tunayachekea majangili kuchukua rasilimali asili zetu? sasa kama huo ndo ustaarabu hatuutaki kabisa bora iwe kama Naigeria kuliko kuchekea majangili!
Mimi nakubaliana kabisa na Dr. wa ukweli kuhusu muono wa viongozi dhaifu kuwa kila kinachodaiwa na wanaichi ni siasa zinazochochewa na upindani nimependa lile neno la "wehu wa hali ya juu" alilolitumia kwani ndio neno halisi linalotakiwa kwa mazingira haya. Ila ndugu yangu Twewe tukirudi kwenye...
Achana na huyo darick hana jipya ni wale mavuvuzela tu kila atakachoambiwa anakubali bila kutumia akili yake si kosa lake bali ni baba yao dhaifu ndo kawatuma walete ujinga hapa
Mleta mada yuko sahihi kabisa ila wewe ndo umekaririshwa kuwa kila anachokiamua dhaifu ni sahihi. Hayo masuala ya mrahaba sijui mrabaha hayatuhusu tunachosema gesi ibaki Mtwara! Full Stop! kwani Mtwara ndo hakupendezei kuweka viwanda eh? au mnafikiri sisi wamakondo ndo tuko nyuma kiasi hicho...
Lakini pia nyie wenzetu wakati mwingine hamwaminiki hapa unasema uampa masuprise ya mapenzi motomoto lakini mnabadilikaga nyinyi wenzetu na hapo ndipo mwanya wa maharibifu unapoanziaga.
Mfano ikitokea jamaa mwingine tu akakukalia vizuri kwa maneno ya mvuto anakutoa nje ya msitari wako na hata...
Sio mara zote! hata hao wazungu kuna wakati kama binadamu hukiuka makubaliano ila ambacho nakijua kwao wao kutokana kuaply theory za maisha na mapenzi wanajikuta wanaelewa tu suala la mzazi mwenza kumtunza mtoto wake.
Sisi tunathamini sana mtoto pindi ukiwa na mama yake pindi ukiachana na huyo...
Acha maneno ya mtandaoni umeshaelezwa kuwa hao ni wajumbe wa mkutano wa uvccm Arusha si umfuate huyu dada? kama ni suala la kuoana halina itikadi hilo waweza kumuoa gamba na hali wewe ukiwa ni gwanda hiyo inaruhusiwa ila mkiwa huko ndani mjanja ndo atambadilisha mwenzake kwa hiyo waweza jikuta...
Vipi hao 270 ni pamoja na mke wenu Cuf? na nyumba ndogo yetu NCCR je ? na vipi kuhusu wabunge wa viti maalumu Mbatia, Muhongo na Charles nao wamo kwenye hao 270 sabini? Aaah kwanza ebu nipe habari na wale waliopita bila kupingwa wako kwenye fungu hili? Ivi niambie mwasisi wa siasa za kupita bila...
Mimi mwenyewe niko hoi na statement hii ya Bwana ametoa CCM wanatwaa!! kweli hawa jamaa ni vichwa hebu ngoja tuone hii ngoma itaishia wapi mimi naona 2015 ni mbali sana. Yaani tungefanya mapinduzi mara moja.
Kweli kabisa ndugu hawa manyang'au wametufanya sisi kama watu wasio na mwelekeo hawajui kila siku tunazidi kuchoshwa na mambo yao ambayo kwa kiasi kikubwa yazidi kutudidimiza. sasa wameona hatupo pamoja nao wanataka kutumia maguvu hapo na sisi hatukubali safari hii lazima ile kwao tu!
Ndugu Crashwise; habari za siku nyingi, mimi naona CCM wamechanganyikiwa wanadhani wanaweza kuendelea na matisho yao milele nafikiri sasa itoshe na tusiwaruhusu kuendelea kututambia katika nchi yetu, hapa ndio watanzania hasa vijana inabidi tuonyeshe uwezo wetu wa kukataa kuburuzwa na hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.