Search results

  1. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Mwenye kuhitaji Viwanja kwa maeneo ya Chamazi, Mbande, Mvuti au mashamba kwa maeneo ya Mkuranga, Vikindu karibu
  2. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Kwa mahitaji ya Nyumba
  3. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Ni nyumba ya kisasa, ina vyumba 4 vya kulala, 2 master bedroom, Jiko, store, fensi, na parking Kubwa ya gari, tiles nyumba nzima, kisima cha Maji na tank la litre 5000, Maua, miti na bembea za watoto n.k Nyumba iko Kinguge Mbagala . bei milion 100
  4. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Nyumba, Viwanja, Mashamba yapo
  5. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    - Ina Vyumba 4 vya kualala -2 master bedroom - Sebule kubwa na sehemu ya chakula - Choo cha umma - Jiko -malumalu na dirisha za aluminium - Maji na umeme - Fremu ya duka 1 - Fensi na parking ya gari Nyumba iko Chamazi. Bei: 47,000,000.
  6. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Hii ipo Chamazi kwa Mkongo, kwa uwanja wa Azamu huko mbele zaidi km unaelekea Mbande baada ya kuvuka bamia. Bei inapungua Dada karibu
  7. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    -5Bedroom & 1 master room - Sitting & Dining room - Kitchen & Public toilet - Tiles & Gypsum - Aluminium window & Pavers - Water & Electricity - Surrounding Fence & Car Parking Location Chamazi. Price 67000000 +255672058465
  8. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Habari wana jamvi. Hapa ni sehemu maalum ya kuuza Nyumba, kiwanja na shamba. Ni sehemu ya kukutanisha muuzaji na mnunuzi moja kwa moja au kupitia Dalali. Habari na matangazo yatolewe kiusahihi yakiambatana na picha ya Mali inayouzwa, mahali inapopatikana, bei n.k
  9. peaci

    Miliki Nyumba yako kwa bei poa.

    -5 bedroom & 1 master bedroom - Sitting & dining room - Public toilet - Water & Electricity - Tiles & pavers -Aluminium window - Surrounding Fence & parking Location: Chamazi Price: 67,000,000.
  10. peaci

    Miliki Nyumba yako kwa bei poa.

    Karibuni
  11. peaci

    Miliki Nyumba yako kwa bei poa.

    Nauza Nyumba kwa bei poa kabisa, kuanzia milioni 15, 20, 25, 30, 40, 50......200. Kwa maeneo ya CHAMAZI. Swali lolote unaruhusiwa kuuliza na utajibiwa.
  12. peaci

    Siri ya mafuta ya upako na dhana mpya ya utapeli

    Asee wamama wamekuwa wahanga sana, hata mi najiran yangu alishaw kwenda kuchukua mafuta ya upako umwekee mumewe kwenye chakula asitoke nje ya ndoa. Yaan mambo ya waganga wa kienyeji yameamia kanisani.
  13. peaci

    Kigwangalla afanya ziara kliniki ya ForePlan, awapa Polisi masaa 24 kumkamata Tabibu Mwaka

    Huko sawa mkuu, ujue tushambikia vitu vingine vya ajabu sana. Dr Mwaka huo udoctor kausomea wapi?
  14. peaci

    Hawa hapa ndio walioharibu nchi tokea uhuru, sasa wanadai wapo bize kuitengeneza

    Kwani ni lini serikali ya CCM imeacha unafiki?
  15. peaci

    Nauza Kipikipi cha kijanja kwa bei poa.

    Njoo pm mkuu tuyamalize kimyakimya
  16. peaci

    Nauza Kipikipi cha kijanja kwa bei poa.

    Asante mkuu
Back
Top Bottom