Search results

  1. lwambof07

    FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

    hii game haiupaswa ubao kusoma 0 mpaka sasa
  2. lwambof07

    FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

    simba walifanya kosa kumwachia yule dogo wonder kid
  3. lwambof07

    FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

    kilichokosekana hapa ni nyavu tu kutikisika
  4. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    huku point mzee ndo mpango mzima hilo ball sio ishu ukiweza vyote fanya ila kama huwezi tafuta point
  5. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    yale malengo ya kufika nusu kwa staili hii cjui ila kocha mpya anayo kazi kubwa sana ya kufanya
  6. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    huyo jamaa wanatakiwa watemane naye watafute mwingine aliyoyafanya wanasimba wanayajua yanatosha
  7. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    ule mpira waliocheza na Alhyl sio huu kabisa
  8. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    kocha ana umuhimu wake kwenye timu
  9. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    sikia mpira upo hivi kipindi ambacho mpinzani yupo dhaifu tumia nafasi vizuri sasa kwa sasa hv ni ngumu sio kama kipindi cha mwanzo nafasi zilikuwa zinaonekana na sio lazima awe Chama hamna
  10. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Kennedy dah huyu jamaa ni mzito yaan yy ndo baba lao
  11. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    walivyoenda mapumziko wamewapa nini hawa Simba huko wanapobadilisha nguo
  12. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    wanatafuta droo kwa udi na uvumba hawa jamaa
  13. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    kwenye michuano hii haijalishi umechezaje kikubwa uvune point 3 hasa ukicheza mechi zako za nyumbani huku ni mwendo wa pointi tu
  14. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    kiungo cha simba kimepotea Enock atachoka
  15. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Israel anafanya kosa moja kubwa sana
  16. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    hii game Simba walikuwa wanaimaliza kipindi cha kwanza
  17. lwambof07

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    wasije wakamweka Boko tu[emoji134][emoji134]
Back
Top Bottom