Search results

  1. mwita burure

    MSAADA JINSI YA KUREGEST TOTAL VIDEO COVERNT

    Msaada hapo tafadhari file la total video covernt now nikicki halufunguki wananiambia please register your total video covernt
  2. mwita burure

    Msaada wa jinsi ya ku flash simu kwenye PC

    Ndungu wana jf habari za wakati nina sm ina matatizo kidogo nilikuwa naomba kuna uwezekano kuiflash kwenye pc yangu mnielekeze niiflash au lazima niende kwa fundi aniflashie msaaada tafadhari
  3. mwita burure

    Msaada jinsi ya kuunganusha data za simu na PC

    Ndungu wana jf naomba msaaada jinsi ya kuunganisha data za kwenye cm zitymike kama modem kwenye pc
  4. mwita burure

    Msaada: Zinapokaa video za kwenye PC baada ya kuziconvert

    Ndungu wana jf nimekovernt nyingi kwenye pc yangu but cha ajaabu sioni file zipokaa msaaada hapo please
  5. mwita burure

    Hivi NACTE hawajafunga maombi awamu ya pili?

    Mbona wengine hatuna view chosen progammes ni go to profile and log out only
  6. mwita burure

    NACTE

    Nadhani kwa upande wa education bado
  7. mwita burure

    Msaada: Profile za NACTE

    Habari za wakati wana jf kuna ndungu zangu walifanya application nacte through CAS na application dedline ilikuwa ni tr 13 august baada ya dedline kila mmoja alipo ingia kwenye profile yake alikuwa system is runnig for selection be patient ila baada ya siku mbili walipoigia kwenye profile zao...
  8. mwita burure

    Tetesi: Selection za ATC zatoka

    Nani maana ya CAS sasa kama ndio hivyo kuna haja gani ya kuaply CAS
  9. mwita burure

    Msaada namna ya kutumia app ya whatsapp & instragram kwenye pc

    ndungu wana jf habari za wakati naomba msaaada wenu please je kuna utaaramu wa kudownlod app ya WhatsApp and instragram kwenye pc please mwenyewe ufahamu anielekeze
  10. mwita burure

    Tatizo la uume kusimama muda wote

    Mkuu nina Ex na kila wiki lazima anipe but hiyo tabia imekuwa ya kawaida
  11. mwita burure

    Tatizo la uume kusimama muda wote

    Ndungu wana JF, Hivi tatizo la uume kusimama kila wakati ni nini? Maana hali imekuwa ya kudumu pia huwa napata shida hususani pale inaposimama nikiwa class or kwenye mkusanyiko tatizo ni nini doctor?
Back
Top Bottom