Search results

  1. benruby

    Mwenye kumbukumbu mahali alipo huyu dada anipe msaada

    Habari Wana bodi. Kama ilivyo kawaida ya jamvi letu halikosi msaada wa Hali na hata Mali pia kma utahitahiji, Niende kwenye mada moja moja. Miaka ya 2013,14-'15 maeneo ya Vijana kinondoni bar na club ya usiku almaarufu Kama "Uhuru pick" na maeneo ya jirani Kama Masai club, Jacaranda, kulikuwa...
  2. benruby

    Ghala LA Saba general laungua moto

    Ghala LA Saba general laungua moto
  3. benruby

    Ghala LA Saba general laungua moto

    Habari za muda, Nimepitia Habari za masaa ITV kwa bahati mbaya nimekuta mwishoni ila subtropic nimeona imehusisha kuungua moto ghala LA kampuni inayouza spear za magari na pikipiki Saba General enterprises, mwenye taarifa au anaejua chochote naomba atujuze tafadhari.
  4. benruby

    Hivi ni kweli mpaka sasa hawa RAIA wamekosa kuskilizwa mpka leo hii!!??

    Wangapi mnaikumbuka barua ya Papii Kocha aliyoiandika kwa Rais Kikwete mwaka 2013 kuomba msamaha? Nakumbuka kaka Evarist Chahali aliichukua barua hii na kuiwasilisha kwa Waziri Lazaro Nyalandu aliyeahidi kuifikisha kwa Rais Kikwete. Kuanzia hapo sijui nini kiliendelea. Labda Chahali anaweza...
Back
Top Bottom