Search results

  1. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Sijui umeandika Nini??! """"You cannot promise a monkey unlimited bananas in heaven and expect him to follow you""""""
  2. Dr am 4 real PhD

    Ni vitabu gani vizuri vya elimu ya matatizo yetu afrika vilivyoandikwa na waafrika

    Water Rodney_ how Europe underdeveloped Africa. John Justin Pambalu_ Tumethubutu, Tumeshindwa, Tujipange Julius kambarage nyerere_ Azimio la Arusha P.L.O Lumumba_ Magufulification of afrika Pia Kuna vitabu vya PROFESSOR KAHABI VITAFUTE Kwa uchache..
  3. Dr am 4 real PhD

    Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Mkuu, Kubwa kabisa Ni for security purposes.... Na kwa taarifa yako Zanzibar itaendelea kua koloni letu kwa miaka mingine 60
  4. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Usha wai pata msiba wa aina izo??! Unajua MTU akipata ajari kwanini huenda polisi kuchukua PF3??! Before hajapelekwa hospital??! Eg. Mtu akichomwa kisu, kujinyonga, akinywa sumu, kujifungia nyumbani na kukutwa amevuja damu nyingi lazima walinzi wa amani wahusike in short Uliza kingine
  5. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Kama vile e.g Nikki mbishi Nikki wa pili
  6. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Ni sahihi mkuu maana Kuna workmate Ni kaka kwangu yeye huwa Ni mwoga mwoga huwa hapandagi na hunikatazaga kupanda sikua namwelewa Ila kwa Sasa nimemwelewa
  7. Dr am 4 real PhD

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Ni Bora tungeonyesha how tume be advanced kwenye technology Nakumbuka: UJITUKABEJA 😊
  8. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Japo na miaka 7 sijaja home (mza) Ila hapo mwanza hata mataa ya barabarani yapo wapi labda buzuruga E.T.C Huwezi fananisha pilika pilika za BODABODA na MAGARI na WATU Between DAR ES SALAM na MWANZA...... Jumapili hapo mwanza usafir Ni shida ukiwa maeneo ya mecco hakuna VIPANYA (DALADALA)...
  9. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Mkuu huku dar es salaam Kuna pilika nyingi boda boda nyingi sanaa magari Ni mengi Sanaa watu pia Ni wengi Sanaaaa Hapo mwanza barabara kubwa Ni mbili TU hapo mwanza nilikuaga naendesha kwenye rough road Mara moja moja Ila huku dasalama sijawai endesha Sawa wapo vijana walevi Ila ajar hainaga...
  10. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Kuna muda machozi Yana nilenga nikiwaza hizi ajari now ningekua nimesha sahaulika.. Still naendelea kurecover naendelea na mazoezi ya kukanyagia mguu Wangu Mwenyezi Mungu amekua mwema kwangu Kwa dar es salam ajar za boda boda Ni nyingi mno nenda mahospitalini wahanga Ni wengi.. Ukienda mishe...
  11. Dr am 4 real PhD

    Kwanini ukitoka polisi/jela ndugu wanakwambia uvue nguo zako ili zichomwe moto

    Mimi niliwai kukutana na kachero mmoja tukapishana KAULI Nika mchana aache uaskari wa kijima ule wa feudal mode of production 😊😊😊 Akanikamata kimabavu akanipiga pingu na kunisukuma nikamwelekeza P.G.O 😊😊 yule Askari alijutiaga vile vitendo tukaja suluhishwa na kushikana mikono kwa amani...
  12. Dr am 4 real PhD

    Hii mvua inaniletea tamaa ya kutaka kumla mpangaji mwenzangu ila nafsi inasita

    Mkuu, Ukiona mwanamke ana onja au kunywa POMBE Kupigwa mbupu Ni easy Remember: Alcoholism Ina tabia ya ku lower reasoning capacity.. Kama unabisha mwambie jamaa anunue wine🍷au savvana ama Hanson choice then aje atupe mrejesho..
Back
Top Bottom