Search results

  1. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Kwani Dar wote wana hali nzuri ? Kweli elimu ni muhimu sana
  2. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Tangu lini biharamulo ikawa ya wasukuma ? Huko wanakaa wasubi ambao ni jamii ya wahaya na lugha zinaingiliana kama mnyamwezi na msukuma. Kawadanganye wasiojua makabila haya. Wasukuma walioko biharamulo ni wahamiaji tu.
  3. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Nimekugundua kwamba hakuna unachokijua. Nilidhani unajua kumbe mbumbumbu kabisa.
  4. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Wasubi wanakula sana ndizi na senene. Usjitoe ufahamu mkuu. Ukweli unabaki palepale kwamba msubi ni jamii ya mhaya. Ila kwa sababu kubaguana katika mkoa wa kagera ni jadi yenu ndio maana unaukana Ukweli. hapo miaka ya nyuma kidogo waziba walikuwa wanakataa kuoana na wanyaihangilo kwa madai...
  5. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Wewe usidanganye wasioijua kagera. Wahaya wa kiziba na bugabo wamehamia karagwe toka miaka ya sitini baada ya ardhi ya maeneo yao kuchoka. Na kwa sasa maeneo hayo yana wahaya wengi mno kuliko hata wenyeji wa asili wa karagwe, leo unadanganya kwamba karagwe hakuna wahaya ? Inavyoelekea Wewe...
  6. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Unachokisema ni sawa kabisa bila kuwasahau wanyakyusa wa Rungwe. Ila Kwa sasa lazima ujue kwamba kasi ya wahaya kujenga kijijini kwao ni ndogo sana. Haya yalifanywa na kizazi kilichopita. Kwa wachaga sawa wanaendelea kujenga vijijini kwao lakini kuna maeneo kule milimani machame nyumba zao...
  7. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Wasubi ni mojawapo ya jamii za wahaya. Ni kama ilivyo tu kwa wanyaihangiro na waziba kuna tofauti kidogo ya lahaja zao. Hivyo Wasubi ni jamii ya wahaya. Anayebisha hajui historia. Walio tofauti na wahaya ni wahangaza wa Ngara wao wako jamii moja na waha na warudi. Msubi ni mhaya...
  8. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Wahaya wengi sana Biharamulo
  9. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Usitudanganye wasubi ni jamii ya wahaya na lugha wanasilizana sasa hivi wasukuma hawako biharamulo tu ball wilaya ya Muleba wamejaa tele kuanzia kyamuyolwa hadi Buligi kwa sababu ya hali ngumu wahaya wanawauzia wasukuma maeneo na wao wanakimbilia rocky city kuwa wamachinga.
  10. nyanzara

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    Siyo kweli Biharamulo wanaishi wasubi na ni jamii ya wahaya na lugha wanasikilizana.
  11. nyanzara

    Mwanza waongoza kwa ukuaji mkubwa wa mchango wake katika pato la Taifa (GDP) 2016

    Ndiyo ujue kwamba mbeya inapungukiwa vingi huwezi linganisha na rock city
  12. nyanzara

    Mwanza waongoza kwa ukuaji mkubwa wa mchango wake katika pato la Taifa (GDP) 2016

    Huwezi kupata dagaa wabichi pale mbeya hata hao samaki wa kyela kuwapata ni shida. Kawadangaye wasiofika mbeya. kama unazungumzia viazi mviringo na unga wa mahindi hapo sawa. Na mwanadamu haishi kwa kula wanga tu bali hata kwa kila kitoweo kitokacho majini
  13. nyanzara

    Mwanza waongoza kwa ukuaji mkubwa wa mchango wake katika pato la Taifa (GDP) 2016

    Mbeya nilikuwepo june mwaka huu ni mahali pa kawaida sana. kwa mzunguko wa pesa mbeya mtasubiri sana.
  14. nyanzara

    Mwanza waongoza kwa ukuaji mkubwa wa mchango wake katika pato la Taifa (GDP) 2016

    Katika maeneo yote uliyotaja ni Tunduma tu ndiyo ninaweza kuikubali. Kwingine huko ni kujilisha upepo tu.
  15. nyanzara

    Mwanza waongoza kwa ukuaji mkubwa wa mchango wake katika pato la Taifa (GDP) 2016

    Wewe Kwa mara ya mwisho umefika kahama lini ? Tuulize sisi ambao ni kila Leo tuko kahama, kwa sasa kahama haiendi mbio sana kama miaka mitano nyuma. Na ifikapo mwaka 2020 mgodi wa buzwagi ukifungwa utakuwa mji wa kawaida sana. Wafanyabiashara wakubwa sasa wanahamisha biashara zao kahama kwa...
  16. nyanzara

    Mwanza waongoza kwa ukuaji mkubwa wa mchango wake katika pato la Taifa (GDP) 2016

    Wewe fafanua. Kimaisha kivipi ? Mbeya twalishwa red meet kila siku. Wakati mwanza unachagua ule unachokitaka. Samaki wabichi , red meet of all kinds ndizi aina zote kutoka bukoba na kanda maalum, dagaa wabichi na wakavu, kuku wa kienyeji n. K. Kwa vyovyote vile anayeishi mwanza anaenjoy...
  17. nyanzara

    Mwanza waongoza kwa ukuaji mkubwa wa mchango wake katika pato la Taifa (GDP) 2016

    Rekebisha usemi wako mwanza siyo manspaa bali mwanza ni jiji. Aidha kilimanjaro cyo wote ni wafanyabiashara. Wananchi wengi wa kilimanjaro wanafanyia biashara zao kwenye mikoa mingine
  18. nyanzara

    Mwanza waongoza kwa ukuaji mkubwa wa mchango wake katika pato la Taifa (GDP) 2016

    Uvuvi, mifugo , kilimo cha mazao mchanganyiko kama mpunga, dengu, mahindi , muhogo, karanga. Ikiwa ni pamoja na madini.
Back
Top Bottom