Search results

  1. T

    Nauza flat screen, fridge na microwave.

    Habari Nauza vitu vifuatavyo vina upya wake na kila accessories zake zilizokuja navyo kutoka dukani Samsung Smart Flat Screen inch 40 kwa Tshs. 1.3M Fridge westpoint kwa Tshs. 650,000/= Microwave kwa 150,000/= Mwenye Uhitaji naomba nicheck inbox tufanye biashara napatikana Dar es salaam.
  2. T

    Nauza asali mbichi ya nyuki wakubwa!

    Nauza asali kutoka tabora ya nyuki wakubwa kwa bei rahisi napatikana dar es salaam...kuanzia litre moja, tano hadi ishirini ... unaweza nitext pm kwa ajili ya bei ...pia napatikana kwa mawasiliano 0658999507#
  3. T

    Naombeni msaada kwa anayefahamu!

    Habari yenu wakuu! Nimekuja mbele yenu nahitaji msaada..... Nahitaji kupata location ya mtu hadi anapoishi kwa kutumia namba yake ya simu pia naona simu yake iko hewani. kama unajua software yoyote inaweza kunisaidia naomba link na maelekezo please......! Asanteni!
  4. T

    Mayai ya kuku wa kisasa

    Nauza mayai ya kuku wa kisasa trey kwa shilling 7500 napatikana dar na dodoma kwa bei ya 10500 ikiwa utahitaji trey nying. #mawasiliano yangu 0658 999 507
Back
Top Bottom