Search results

  1. U

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Asimamie msimamo na majibu yake ila sio mabo yakupigwa risasi.....jamani twaelekea wapi?hakuna connection ya majibu na Bunduki!!!!! Pia hay hayana maslahi kwa wapiti kura wa sumbawanga na arusha
  2. U

    Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Hakuna a lie msafi ila tuna angalao anaeweza kusimama na kunyoosha kidole na ndie MAkofuli......ukweli ndo huo na kwa uraisi ANAFAA
  3. U

    Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA

    Kwa wasiojua Arusha, pazuri na Geneva of Africa ,ila Usalama ni mdogo,Leo askari kapigwa risasi,wanaopigwa visu,bisibisi ndo usiseme,waziri aliangalie hili na siasa ziwekwe kando kwani nihatari.kilakukicha afadhali ya Jana ....Jana polisi kwenye masako wamemkuta mtoto wa sekondari amehifadhi...
  4. U

    HAMAD RASHID apita bila ya kupingwa

    Sihasa........tumeshawapa kula Hao wakubwa sasa tuwaacha wale mkate kwa asali,janja zao kwa mtu aliefunuliwa atajua hakuna a lie safi ila ni mradi,na miaka mitano watarudi ten a nakelel zakutosha,tsht,kofia kanga nk.......wakupigwa mabom watapigwa,watasonga mbele...wao watakaa nyuma
  5. U

    Polisi apigwa risasi na kufa

    Unajua jamani kuweni wakweli na binadamu,inakuwaje mtu anapigwa risasi wengi mnafurahia?kwanza taarifa za mtoa topic si zakweli na kasha ataumbuka kwani habari za polisi kupigwa risasi ni kweli ila kafa,au la,kapigwa na majambazi au wafuasi wenye kulipa kisasi......sikweli,kasho mtajua unwell na...
  6. U

    Mobile phone spying software

    Kweli hii ni nzuri na ikon kitaalam zaidi.wanaolipinga wameliangalia kwa karibu sana,mi nalihitaji hili ten a kwa baraka na ni kwamaendeleo,nip mwanga zaidi
  7. U

    Katiba mpya ya nini?

    Huu mjadala au maswali ya Mtweve ni muhimu na silo kubeza,na nikwa faida ya wasiojua.Kama wewe unayaona ni yakike wengine twaona yamsingi kwani sio kilamtanzania anifahamu vizuri katiba ya sasa na mapungufu yake,hive usiwachanganye JF nimtandao wakuelimishana na sio mkumbo nakuburuzwa na Hasira...
  8. U

    First Lady yuko wapi???

    Kuna watu wachokozi na hawana kaz,topic hiiinatusaidia nini?
  9. U

    Migomo CHADEMA Bungeni: Ulafi wa Madaraka au Demokrasi katika Ubora Wake!!??

    Haya yako hat a ulaya umezitoa wapi? Na je kijijini kwenu hayapo,pia nilikuagiza marekani na china,India wapo,je unamaanisha nini kuziweka hizo,in a maana cdm hao watawavalisha suti na mkate na siagi? Leo hawajatulia bungeni na wanapigania madaraka na kusahau tulicho watuma,,,,,,,,wazungu...
  10. U

    Sabodo: Kikwete ni kiongozi anayecheka na rushwa!

    Kikwete anacheka na Rushwa......anatakiwa avute zakutosha,mpaka babu anashtukia hili!!!!!
  11. U

    ROSTAM: Dowans ndiyo Richmond

    [Rais kawa mkweli,hajui dowans ila anamjua mbunge wake RA nini huelewi hapo? QUOTE=DOUGLAS SALLU;1598429]Hivi jamani kweli Kikwete hafahamiani na Rostam Aziz?Maana juzi kauongopea uma wa watanzania kuwa hawajui dowans na wala wao dowans hawamjui yeye.NI AJABU NA KWELI LAKINI IMETOKEA HAPA...
  12. U

    Eti dowans kumbe imeshalipwa?

    Nguvu zipi? mguse uone,Rais hana nguvu? unachekeshe ndugu
  13. U

    Tundu Lissu kuitwa na Mahakama akiwa Bungeni

    Daudi,i do,but do it as well!
  14. U

    Tundu Lissu kuitwa na Mahakama akiwa Bungeni

    Hivi mtu akiwa na mtazamo HASI kwa mwana Chadema ni kuwa na matatizo ya akili? Tusipo badilika itakua ngumo kufikia malengo,na tutakua wakuburuzwa tu,mtu ana soo akajibu,na asitumie kanuni kujikomboa,imekula kwake!!!!!
  15. U

    Tundu Lissu kuitwa na Mahakama akiwa Bungeni

    kweli ndgu,tundu anamatatizo yake anataka bunge lisitishwe,nadhani aliemshauri hajui sheria na wailompa kura tundu wamuulize kama ndo walichomtuma huko bungeni,otherwise namsifu sana Lusinde kwa kuwa mkweli na Roho wake mtakatifu ni wa ukweli
Back
Top Bottom