Search results

  1. Michael Mkwanzania

    Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Nimehamia Kwenye kutengeneza startup sahivi ya e-learning, within a 2-3 months tutazindua startup yetu ambayo masomo yangu yote ntayahamishia humo.
  2. Michael Mkwanzania

    Ushuhuda: Jinsi ninavyojenga nyumba ya ndoto yangu

    nmeanza fanya research za ujenzi nkakutana na hii, ahsante sana Dr. Wansegamila , ngoja nijiweke hapa ntairudia.
  3. Michael Mkwanzania

    Vivuli vya mtafutaji. (shadows of a hustler)

    At the same time ni muhimu kukumbuka kwamba hii ni majority ya watu,tunategemewa kwa mambo mengi sana, tupo connected na watu wenye hali duni, "sio rahisi sana kutoboa" in general, ni ngumu sana, mifumo ya dunia imewekwa ili tusitoke kirahisi. But inawezekana, njia zipo, ndio point ya huu uzi.
  4. Michael Mkwanzania

    Vivuli vya mtafutaji. (shadows of a hustler)

    Hongera sana kwa step ulizopiga. Haya maisha haya, ukiwa unapitia hizi hali za chini unaona kama mda hauendi, wengi sana wanakufa moyo na kurudi nyuma, wachache wanachukua opportunity na kutumia kujenga discipline, generational wealth ni muhimu sana, vizazi vinavyofuata waweze tatua mambo...
  5. Michael Mkwanzania

    Vivuli vya mtafutaji. (shadows of a hustler)

    pamoja mkuu.. Mdogo mdogo, one step at a time tunaelekea.
  6. Michael Mkwanzania

    Vivuli vya mtafutaji. (shadows of a hustler)

    Jiji la dar-es-salaam limejaa vivuli vya kutafuta kwangu na vya watu wengi sana. Kila mtaa ninaopita naviona, najiona mwenyewe nilivyokua natembea hii mitaa, Kugonga milango kwenye ofisi za wahindi na kuwaelezea nini nachoweza fanya, kugonga milango hiyohiyo tena na kuambiwa nirudi wiki ijayo...
  7. Michael Mkwanzania

    Maneno machache kwako mtafutaji

    Maneno machache kwako wewe ambaye dunia bado inakuweka chini, Hawakujui, Watafanya kila liwezekanalo kukufanya ubaki ulipo, Watalipa polisi wakuweka ndani bila wewe kufanya kosa, Watakutishia, Watabadilisha maneno waliosema na kutumia nguvu zao kukuhutumu, Wataongea juu yako bila kukupa...
  8. Michael Mkwanzania

    Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania.

    Video hii inaelezea zaidi utata kati ya historia tunayoifahamu yenye utata kidogo kwa sababu waarabu wameibadili. "All societies select what they want to remembered, but only Africans have been totally denied a history or their own for so long."
  9. Michael Mkwanzania

    Ushauri wa bure kwa mwenye biashara yoyote anayetaka kuteka soko lake

    Tumia aliexpress.. Ni haohao for smaller quantities.
  10. Michael Mkwanzania

    Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania.

    anza na link hizi hapa Crash course - hii kwa historia kwa ufupi (zipo nyingi, ila tafuta za afrika kwenye hii YouTube channel) page za facebook Real African Writers Afrikan Centered Education nitaongeza link polepole.
  11. Michael Mkwanzania

    Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania.

    Historia imefutwa, historia imefutwa kupitia dini zilizoletwa, kupitia kudanganywa. Roman empire ndio civilization za mwanzo zilizokua documented kwa magharibi, afrika civilization zilikuepo miaka zaidi ya elfu 3 kabla ya rome, sijafuatilia sana waarabu ilikuaje. Kwa research yangu, waarabu na...
  12. Michael Mkwanzania

    Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania.

    Ahsante sana, dhumuni langu ni kufanya watu kua na mjadala juu ya haya mambo, mimi sio mwana historia kama nilivyosema hapo mwanzo, na pia sijagusia slave trade ya waarabu kwa kua aliyenifanya niandike haya anasifia sana mzungu. Waarabu hapa kwetu ndio ambao wamekubalika kama wenzetu kumbe nao...
  13. Michael Mkwanzania

    Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania.

    Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania /muafrika mweusi. “I write nikiwa inspired” niliandika kwenye makala yangu ya kwanza. Kuna swali ime ni inspire, imenisikitisha, imenipa uzuni, kwa jinsi gani mtu mweupe, the white man, amefanikiwa kuua uwezo wa wengi sana kujiamini na...
  14. Michael Mkwanzania

    Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

    Aisee. There is so much wrong with these statements sijui hata nianzie wapi. 1. Utumwa. Slavery. Nchi kama marekani haijajijenga yenyewe, watu weusi watumwa walienda wakawajengea nyumba zao, wakawajengea reli ili treni zipite, wakawafanyia kazi bure kwenye mashamba yao, wakawanzishia viwanda...
  15. Michael Mkwanzania

    Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    michaelmkwanzania@gmail.com au michael@mkwanzania.com zote najibu email
  16. Michael Mkwanzania

    Vitu vitano nilivyojifunza kwa kuuza bidhaa moja tu iliyoendesha maisha yangu yote kwa mwaka mzima

    shipping za posta zinategemea na mambo mengi sana, kwa uzoefu wangu singapore post ndo inawahi, 2 weeks mzigounafika toka utumwe. nimeelezea shipping za posta zote kwenye pdf pia.
  17. Michael Mkwanzania

    Vitu vitano nilivyojifunza kwa kuuza bidhaa moja tu iliyoendesha maisha yangu yote kwa mwaka mzima

    DHL kutoka order-shipping-kufika-kuupata mzigo 1 week. DHL mzigo ukifika tu upe masaa 24 then nenda pale uone wamekuwekea bei gani, pale kwenye kodi ndipo mizigo inakaa mda mrefu. thats the fastest way.
  18. Michael Mkwanzania

    Vitu vitano nilivyojifunza kwa kuuza bidhaa moja tu iliyoendesha maisha yangu yote kwa mwaka mzima

    bidhaa za bei ndogo kama hizo hazikatwi kodi kawaida, ukitumia njia za shipping za post office. DHL utakatwa kodi. nimeandika PDF nzima ya bure yenye njia za shipping zote ambazo utapata mzigo kupitia posta, PDF unaweza download bure hapa biashara kwa mtandao introduction
Back
Top Bottom