Search results

  1. G

    Hivi matokeo ya Form Six 2020 yanatoka lini?

    Wadau, mwenye tetesi yoyote kuhusu hili, maana naona muda unaisha kwa wale wasiopenda kuomba mkopo kabla ya kujua matokeo yao kwa waliofanya mtihani mwaka huu.
  2. G

    Msaada pls juu ya elimu kupitia " FOUNDATION COURSE ".

    Ndugu zangu wapendwa,naomba kujua hii foundation course inahusika na nn,na vigezo vya kujiunga na kozi hii ni vp,pia masomo yanayoambatana na kozi hii ni yap? Kwa anaejua chochote juu ya hili,naomba anisaidie... Natanguliza shukran zangu kwenu.
Back
Top Bottom