Search results

  1. K

    Magufuli 'amrushia madongo' aliyesema atashtakiwa sakata la mchanga

    Rais wa nchi unatakiwa UJIAMINI na KUSIMAMIA kile ULICHOKIANZISHA KWA MASLAHI YA WATANZANIA....Na hiki ndio ninachokiona kwa MAGUFULI......serious we have a president
  2. K

    Job Ndugai anaweza kushitakiwa Mahakamani ?

    Hao majaji wawe wazalendo kwa ajili ya MDEE NA ESTER???????mabinti wasio jitambua na wasio na maadili kabsa....afadhali ungesema MNYIKA.....
  3. K

    Job Ndugai anaweza kushitakiwa Mahakamani ?

    MKUU EBU TOA HIYO ID FAKE YAKO...afu ndio uhimize hicho unacho wadanganya wenzio.......WENZIO WANAOGOPA KUFANYA UNACHO WADANGANYA MAANA WANA REAL IDENTITY.....sasa wewe upo shimoni unawadanganya wenzio
  4. K

    Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    WATALITUMIKIAJE JIMBO ILI HALI HAUNA MAHUSIANO NA SERIKALI BY THE MOMENT??????
  5. K

    Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    NDIO WAKOME.......na hii wamejichinja wenyewe...HAKUNA MTU WA KUWARUDISHA BUNGENI 2020.......Honest HALIMA MDEE hana maadili kabsa na kamwambukiza tabia za ajabu ESTER BULAYA....yaani utafikiri ni mabinti ambao hawakulelewa na WAZAZI WA KIKE,,,,,ni aibu sana Yaani HALIMA MDEE anajaribu...
  6. K

    Mtoto wa Karume, Asha Abeid Amani Karume ajiunga CUF

    Hivi mnaifahamu CCM vizuri nyie??????........SHAURI ZENU........
  7. K

    The way it's.

    Noel C shao JINA TU INASADIFU ANDIKO LAKO......Tangu lini mchagga akaitakia Mema NCHI hii??nyie mnapenda sana kujigawia wenyenyewe keki ya TAIFA......
  8. K

    Rais Magufuli: Hakuna mpinzani atakayekanyaga kwenye serikali yangu

    Hapa mnashindwa kumuelewa vizuri RAIS magufuli.......ALikuwa ana maanaisha WAPINZANI wasio jielewa(HAPA UPINZANI USIOJIELEWA UNAJULIKANA) ndio kamwe hawezi kuingia kwenye SERIKALI YAKE..........ndio maana mpaka sasa kaegemea upande wa watu wanaojielewa ACT......Ni lini mmesikia HUYO MAMA WA ACT...
  9. K

    Siwezi kumuunga mkono Magufuli, au mvunja sheria mwingine yeyote yule

    Mkuu ebu acha kujipandisha chati kabsa.......Hauna lolote la kutuambia tukuone wewe ni mpigania USAWA kwenye nchi hii....UTAPIGANIAJE USAWA UMEJIFICHA SHIMONI????
  10. K

    Siwezi kumuunga mkono Magufuli, au mvunja sheria mwingine yeyote yule

    hivi kweli hili suala mmeshindwa kuwauliza viongozi wenu huko???????WAKATI MWINGNE INASIKITISHA SANA jinsi ambavyo CHADEMA wanalipa hili suala uzito wake........
  11. K

    Siwezi kumuunga mkono Magufuli, au mvunja sheria mwingine yeyote yule

    Tatzo lako una ongea sana ili hali hata hayo MACHUNGU unayo yasemea HAUYAJUI yakoje.....huu ndio tunaita UNAFIKI.....rudi hapa nchini UPIGANIE HAKI UNAYOISEMEA......KWELI TUTAAMINI UNAMAANISHA USEMACHO wewe hata usipo muunga mkono RAIS wetu haupunguzui wala kuongeza chochote......
  12. K

    Kenyatta aahidi elimu bure Kenya

    ugumu wake nini?????mbna watoto hapa TANZANIA wanasoma vizuri tu????? TATZO LENU MNSTAKA KUSIKIA MABAYA TU JUU ELIMU BURE......na hili msahau kabsa
  13. K

    Marekani yasema hawajabadili maamuzi yao suala la uchaguzi Zanzibar

    Aiseeeh.......Huyo wanaemtaka atawale ni kwa ajili ya matakwa ya U.S.A au kwa ajili ya matakwa ya WAZANZIBAR??? Kama ni ajili kwa matakwa ya wazanzibar MBNA HAO WAZANZIBAR wapo kimya mpaka sasa hawaaandamani kuingia barabarani kudai HAKI YAO??? ukimya wao ni kithibitisho tosha ya kuwa ALIYEPO...
  14. K

    Ni gharama kubwa kuwa na Mwanasheria mzuri asiye na uzalendo

    Ila twende na ukweli LISSU anakosea sana kujifanya yupo mstari wa mbele wa kuangalia HASARA NA SI FAIDA kwa ajili ya vizazi vijavyo.......na hii ni rahisi sana kwa LISSU kutumiwa na hawa VIBARAKA wenye maslahi yao kwenye hili kutuletea matatizo nchini kwa kuhamsha TAHARUKI kama wafanyavyo sasa
  15. K

    Gwajima kwa hili la Mchanga- Asante!

    Sababu kubwa ambayo wengi wenu humu mmeshindwa kuitambua kwanini WAPINZANI kwa sasa wamebadili tena gia ANGANI....ni hii hapa.... HIVI mnatambua Nchi ya CANADA kupitia balozi wao hapa nchini ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA????....sasa kwa akili ndogo unategemea LISSU akae kimya pale anapoona...
  16. K

    Star TV Magumu mliyopitia baada ya uchaguzi hamkupaswa kufanya hivi

    wewe una USHAIDI GANI ya kuwa STAR TV wameyumba kiuchumi??????......Hivi unafajhamu kuyumba kiuchumi??? Ingekuwa ni kweli unayo yasema hapa HIYO T.V station isingekuwa HEWANI.......unachoshindwa kung'amua juu ya hizi tetesi za KIBANGI hapa JF ni uhusiano wa STAR TV na CCM .....sasa usitegemee...
  17. K

    CHADEMA kinatarajia kufanya kikao Maalum kitaifa cha kujadili bajeti ya chama hicho

    Kwanini secretarieti ikae mara mbili kabla ya baraza kuu?????......Huku ni ufujaji wa pesa wa chama kwa wakubwa hapa ni uraji wa posho tu usio kuwa na kic hwa wla miguu.....WIZI MTUPU
  18. K

    Rais Magufuli atapokea ripoti ya mchanga wa madini leo Ikulu, Redio na TV kurusha LIVE!

    Ni kweli hakuwa na UPUUZI huo unaosema wewe...LAKINI MBNA BADO ulipanua mdomo wako kubwabwaja??????? Daaah nyie vijana wa penda vya bure UFIPA inawapoteza aiseeeh
  19. K

    Rais Magufuli atapokea ripoti ya mchanga wa madini leo Ikulu, Redio na TV kurusha LIVE!

    Ingefanywa GIZANI nadhani ungelalama zaidi ya ulivyolalama sasa.....Aliye waroga nyie SIJUI YUPO WAPI JAMANI......daaaah
Back
Top Bottom