Search results

  1. mitindo huru

    Hoteli za bei rahisi Kariakoo au Mnazi Mmoja

    Nenda hotel inaitwa Keys, ya marehemu Ndesamburi vipo vyumba vya 25,000 Hadi 30,000. Hotel ipo kariakoo karibu na jengo la Ushirika.
  2. mitindo huru

    Nini kitasaidia mti wa mwembe kuzaa matunda?

    Kinachosababisha hiyo hali ya mwembe kutokuzaa ni aina ya wadudu wanafanana na sisimizi ambao mwembe ukianza kutoa maua hao wadudu wanaenda kula maua hivyo kupelekea mwembe kushindwa kuzaa. Jambo la kufanya ni kuhakikisha unapiga dawa katika miembe yako kila miembe ikikaribia kutoa maua au...
  3. mitindo huru

    Naomba kujua utaratibu wa kuimport bidhaa kutoka nje?

    Ndio, TIN ya biashara ila hata kama hauna TIN ya biashara tumia TIN ya kawaida
  4. mitindo huru

    Naomba kujua utaratibu wa kuimport bidhaa kutoka nje?

    Document unazotakiwa kuwa nazo ni Kitambulisho Chako chenye jina linalofanana na Document atakazokutumia, TIN number na pesa za kutolea mzigo bandarini kwa malipo ya Port charge, wharfage, shipping line, Agent fee n.k Document atakazotakiwa kukutumia ndugu yako ni Bill of Lading, Invoice na...
  5. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Asante sana ndugu kwa hizo link, ingawa tayari kuna watu kadhaa wameshajitokeza.
  6. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Siwezi kukucheki ndugu sababu wazo lako haliwezi kutekelezeka kwangu, Pia kumbuka hiyo ni hiari, hivyo hakuna kitu cha ajabu au kushangaza ninapotoa mtazamo wangu.
  7. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Wewe unafikiri nini kifanyike katika jambo kama hilo?
  8. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Upo sahihi ndugu, ila ndio maana kuna makubaliano na hilo ni jambo la hiari.
  9. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Wazo zuri sana ndugu, bado sijafanya hitimisho la utekelezaji hivyo wazo lolote bora linaweza kutekelezeka.
  10. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Hili wazo jipya ndugu, nimetafakari sana na kufurahi kwa ujasiri wako. Ila kwa kifupi haitowezekana kwa sababu tayari mtoto atakua damu yangu hivyo inaweza kuleta sintofahamu baada ya miaka. Ninaweza kukupa wazo kwamba kama una sifa nilizotaja, fanya kwanza mpango wangu halafu badae mimi...
  11. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Njoo PM ndugu, Yote yanawezekana
  12. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Pitia comment zote, hilo swali nilishatoa ufafanuzi
  13. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Umesoma comment zote nilizoandika? Pia sijaona kama ni kosa kama ninao mda wa kutoa ufafanuzi kwa tangazo nililoweka mwenyewe.
  14. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Kila mtu yupo huru kufanya anachoona kinamfaa, hasa kama havunji sheria kwako na kwa watu wengine. Tusiwe wepesi kuhukumu, aliye mtakatifu ni Mwenyezi Mungu pekee.
  15. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Kama unazosifa kama zilizowekwa katika tangazo, unakaribishwa sana ndugu. Hakuna Katazo la single mama.
  16. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Ndio nipo sawa..!! kitu gani nimefanya hadi unaniona sipo sawa?
  17. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Niliemjibu alishanielewa na akakaa kimya, Pia nakukumbusha kwamba sijaja hapa kueleza tatizo bali nimekuja kutoa fursa yenye malipo kwa mwanamke mwenye sifa nilizotaja pia mwanamke huyo awe tayari kwa hiari yake. Hakuna sehemu niliyoonesha ukali ila nimekua najaribu kuwaelekeza watu kadiri...
  18. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Hongera kwa kupata mtoto mwingine.
Back
Top Bottom