Search results

  1. S

    Hii inakubalika?

    Anasubiri breaking news. TV siyo anasa ni Habari. hata hivyo sina imani na nyarandu kwenye kampeni zake aligawa noti kitanda kwa kitanda hivyo inawezekana ni ufahari tu. muulize kwao Ngimu-Singida kuna hata umeme wa solar. ya nini kugawa noti? kwa nini hizo noti zisiboreshe mradi mmoja mkubwa...
  2. S

    Ile buku iko wapi?

    Hizo hesabu za kichovu. fumbo mfumbie mjinga buku analo fisadi wa gesti
  3. S

    Bank teller/loan officer jobs

    Lete C.V yako kuna kazi ya kusimamia mradi wa kuku wa kienyeji hapa kibaha. mshahara 150,000 ukishaondoa makato yote. lakoni unaruhusiwa kukopa mara 12 ya take home unalipa ndani ya miaka mitata riba 18%. kma uko tayari tuwasiliane hapa hapa nitakupa namba zangu. kumbuka makato ya mkopo...
  4. S

    Kiti cha kikwete na miujiza

    Utakuwa ushirikina tu! Ila tujiulize, anakwenda nacho marekani? Au ni tanzania tu? Basi ushirikina huo ni mfupi kama kaptura. Washauri wake waache kumpotosha!!!!
  5. S

    Kidumu chama cha mapinduzi!!!!!!!!

    Hii kali unamtambua nani?
Back
Top Bottom