Watu wenu wa Bagamoyo niwasumbufu sana then waache kutisha Watu yani Unaletewa bili ya maji leo baada ya Masaa 2 unatuniwa mesiji na mtu wenu kuwa unadaiwa Unatakiwa ulipe Watu wa operation wako mtaani, hujakaa sawa unapigiwa huu ni usumbufu yani mtu ukae standby unasubiria msg ya Dawasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.