Search results

  1. Y

    Nahisi menejimenti ya UDART imebadilika

    Amesemema LEO... kwa hiyo si tusubiri tuone kama wata-maintain
  2. Y

    Uteuzi wa Dr. Slaa wageuka mwiba mwingine kwa upinzani

    Ataenda Italy aliposomea degree yake ya udaktari wa sheria za kanisa
  3. Y

    Je, upinzani ukifa ikabaki CCM peke yake kuna faida gani?

    Upinzani ukifa watapata faida hizi 1. Watachulia fungu lote la ruzuku ya vyama vya siasa 2. Watapitisha mipango yao yote bungeni bila kelele
  4. Y

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata Magari takribani 53 yasiyo na mwenyewe, IGP alaumiwa Mikataba ya Lugumi

    Unasema kweli kabisa. Kuna siku pia tutakuta 40 feet containers zimejaa dola za kimarekani hazina mwenyewe
  5. Y

    Makonda awapa zawadi madaktari wa meli ya wachina ktk sherehe ya kuwaaga!

    Waziri wa Afya pamoja na jeshi la wananchi wa tanzania ndiyo hosts wa hiyo meli. Kwenye shughuli ya jana waziri wa afya hakuonekana kuwa active kabisa
  6. Y

    Uchaguzi ukifanyika leo, Dr. Luis Shika akigombea urais, ubunge, udiwani, anaweza kupata? Jicho letu ndani ya habari

    Paskali- Mimi nafikiri Dr Shika amepata umaarufu huu wa haraka na gafla kipindi hiki kwa sababu ya hali ambayo jamii inapitia. 1. Mitaani kumekuwa na kilio chamuda sasa kuhusu ugumu wa maisha, kukosekana kwa fedha, kuyumba kwa biashara,na mambomengine yanayofanana na hayo. Kwa kifupi, maisha...
  7. Y

    Makonda na hili la Fiesta nalo limekushinda, Fiesta kupigwa usiku kucha

    Hivi mikoani napo walikuwa wanapiga mpaka saa ngapi? Na, kwa nini kwa dar muda umekuwa topic kubwa kiasi hiki? Ila sidhani kama raisi anaweza kujiingiza kutoa kibali cha kupiga disko, sidhani!
  8. Y

    Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Wahindi wana msemo wa kale unaosema hivi " Kazi nzuri na ya heshima ya kwanza ni kilimo, ya pili ni biashara na ya tatu ni kuajiriwa" Hapa kwetu kazi ya kilimo ni kazi ya watu walioshindwa mambo mengine. Utasikia wanasiasa wakisema kama umeshindwa kazi ya kuajiriwa ..... nenda kalime. Wazazi pia...
  9. Y

    Jesca Kishoa kwa hili la kumkosoa Kafulila hadharani na kufuta picha zake kwenye mitandao yako ya kijamii, umekosea

    Angeweza kuitisha huo mkutano na kumtakia kila la heri kwa uamuzi aliofanya, ila akasisitiza yeye hajaona sababu ya kufanya hivyo na ingetosha tu!!
  10. Y

    Mke wa Kafulila, Jesca Kishoa asema mume wake amekosa msimamo, yeye bado yupo CHADEMA

    Watu wanaowana kwa dini mbili tofauti na wanazaa na wanalea familia. Kama kila mtu anaamini kwenye ilani ya chama chake waendelee, ila wasiruhusu maisha ya kisiasa yakaingia ndani ya maisha yao ya familia
  11. Y

    Mke wa Kafulila, Jesca Kishoa asema mume wake amekosa msimamo, yeye bado yupo CHADEMA

    Kafulila hapotezi chochote kwa maamuzi aliyofanya he was jobless. Jesca hawezi kukurupuka ajijitoa CHADEMA anapoteza stahili zake zote za kibunge. Kwa hiyo, Jesca lazima akomae!! Kama anayozungumza ni serious basi ndoa hiyo itaingia kwenye heka heka
  12. Y

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Paskal-kwa mtu kama wewe ni vyema ukajaribu kukwepa "value judgement" za aina hii. Vifo vya gafla hutokeo kwa watu wote wanene, wembamba, na wa wastani. Taarifa ya daktari ndiyo inaweza kudhibitisha pasipo shaka sababu ya kifo cha mtu
  13. Y

    Uteuzi wa Dr. Slaa wageuka mwiba mwingine kwa upinzani

    CHADEMA/ACT/CUF kama vyama vya upinzani vina weaknesses zake nyingi. Ila kutumia nguvu kubwa hivi kupambana navyo inaweza kuvijenga badala ya kuvibomoa. Rewards za vyeo kwa watu ambao wanajiuzulu uanachama ni dhihirisho kuwa vyama hivi ni tishio- sasa kwa kuwa watanzania wenye uwezo na...
  14. Y

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Raisi anaweza kumteua mtu kuwa balozi bila kumpangia kituo, DG wa NSSF aliteuliwa kabla ya kupangiwa malaysia, IGP Ernest Mangu naye ameteuliwa anasubiri kupangiwa kituo. Nchimbi naye aliteuliwa akakaa muda ndipo akapangiwa kwenda Brazil.... tusubiri anaweza kupangiwa kwenda Italy
  15. Y

    Jokate Mwegelo: Magufuli na kisa cha Mussa na Wana wa Israeli

    Jokate- Raisi hajajenga bomba la mafuta, ila amepigania ujenzi wa bomba hilo upitie nchi ya Tanzania badala ya nchi ya Kenya Pia- Kuhakikisha Tanzania inakuwa na viwanda vya kutosha nchini approach ya ujenzi wa viwanda kwa kuagiza wakuu wa mikoa kuhakikisha wanajenga viwanda 100 inanitia...
  16. Y

    Mke wa Kafulila, Bi. Jesca Kishoa aondolewe CHADEMA haraka iwezekanavyo

    Jesca aliojiunga na Chadema alijiunga kama yeye. Kumfukuza uanachama CHADEMA ni pale tu itakapothibitika tu amekiuka maadili ya Chama yenye adhabu ya kufukuzwa uanachma. Huwezi kumfukuza mtu uanachama sabau muwewe amehamia chama kingine. Kama CHADEMA wanafikiri huyu dada anaweza kuwa msaliti...
  17. Y

    Nyerere Anatukuzwa Bure Kama mtu aliyetafuta uhuru Peke yake!

    Nyerere haheshimiwi kama mtu aliyeleta uhuru peke yake. Ila, Nyerere anaheshimiwa kwa kujali maslahi ya nchi kuunganisha makabila yote na kuwa na ideology moja kwenye mapambano ya uhuru. Wameru walienda kudai uhuru walikuwa na agenda zao kama wameru, wachagga nao walikuwa na agenda zao kama...
  18. Y

    Ukomo wa Mifuko Mitano Tanzania Bara ni Machi, 2018; PSPF na NSSF pekee kubaki

    Kati ya mifuko yote LAPF na PPF walikuwa wafanya kazi nzuri kulinganisha na wenzao. Kuunganisha mifuko hii sasa kutaleta monopoly ambayo slowly ilishaanza kupungua
  19. Y

    Kampeni za udiwani:Mafuriko ya kufa mtu kwenye mikutano ya Mwigulu Nchemba

    Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndiyo msimamizi wa sheria zote za nchi ziliwepo za uchaguzi. Anapokuwa active player kwenye politics za ruling party haiwezi kusababisha conflict of interest
Back
Top Bottom