Search results

  1. T

    Je, Magufuli atakuwa mgombea wa kwanza kutoka CCM kupoteza uchaguzi?

    Teh teh teh atalia kama pinda
  2. T

    Yanayojiri bungeni Dodoma leo 08 Julai 2015

    Hujui kuwa yupo Ccm kitambo sass!!!
  3. T

    Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

    Msumari WA Moto kwa --------- WA act mwandiga
  4. T

    Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

    Maswali magumu mno hayo na hayajibiki. mtamuua ---------
  5. T

    Zitto aitesa CHADEMA Kagera, Mwenyekiti wa Wilaya ya Biharamulo arudisha kadi

    Aliyemaliza muda wake au aliyeshindwa kwenye uchaguzi ?
  6. T

    Wanachama wa CHADEMA Mbozi wajiunga ACT -Wazalendo

    Nyanda za juu kusini hicho kikundi cha waha Ni dhaifu Sana,hakiwezi kupata hata diwani mmoja Kanda nzima
  7. T

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    huyu dogo ni zero kabisa
  8. T

    Kesi ya Serikali dhidi ya Mfanyabiashara wa Njombe imetupwa

    Kesi ya serikali dhidi ya mfanyabiashara wa njombe mjini Meckson sanga imetupiliwa mbali na mahakama ya wilaya ya njombe baada ya kukosekana ushahidi .sasa hivi tupo ukumbi wa turbo njombe mjini kwa majadiliano ya kuchukua baada ya maamuzi haya ya mahakama.haki siku zote huchelewa Tu lkn lazima...
  9. T

    Moto wa ACT-Wazalendo kama umepungua vile

    Huku njombe ,siku alipomaliza ziara na kuondoka ndiyo simu hiyo hiyo chama kilikufa hapo hapo .
  10. T

    ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    mpo nyuma yake na nani ?halafu huko nyuma yake mnafanya nini ?
  11. T

    Agustino Mrema atimuliwa TLP

    Hivi mrema bado yupo kwenye siasa????
  12. T

    ACT-Wazalendo yashusha bendera za CHADEMA Kigoma,wakomba 3500 kutoka CHADEMA,CUF na NCCR Mageuzi

    Hiki kikundi cha Sanaa cha ccm hakifiki popote,maana huku walikofanya ziara hata harufu ya actccm hakuna kabisa,hivi bila zzk hamuwezi kuendesha kikundi chenu? Sasa October mtamgaweje huyo zzk ili mpate hao wabunge 50? Endeleeni na maigizo yenu
  13. T

    ACT - Tanzania inapambana na vyama vyote Tanzania

    Mwenyekiti wa act mkoa wa njombe ametuaacha vinywa wazi na kutanua mbavu zetu baada ya kusema act iko kwa ajili ya wanaccm waadilifu lkn pia kwa kuwa cdm inachukua nch basi act ndio chama cha upinzani ,mwenyekiti huyo anaitwa Mathias mwajombe ambaye kabla ya kuhamia act,amewahi PIA kuwa...
  14. T

    Mwanamama wa Shoka: Anna Mughwira - Mwenyekiti ACT Wazalendo

    Hivi mbona wafuasi WA --------- wamekuwa wapole ghafla baada ya ziara ya kuuza sura ya actccm kusimama?
  15. T

    NCCR-Mageuzi yadaiwa kuwasilisha hoja ya kujitoa UKAWA; CUF watoa masharti magumu!

    Ukawa ni Imara kupita kiasi mlichokizoea
  16. T

    Ungana nami katika Imani ya Ujamaa wa Kidemokrasia ya ACT- Wazalendo

    Wacha mbwembwe zako ,hakuna ujamaa dunia ya sasa ,ujamaa hauwrzekani kwa sasa
  17. T

    Salum Mwalimu na Joshua Nassari kushambulia Makambako kesho tar.25/04/2015

    waulize ccm wenzako tulichowafanya serikali za mitaa hapa makambako hawana hamu na cdm maana madiwani na mbunge wao wanaishi kwenye mitaa ya cdm .
  18. T

    Salum Mwalimu na Joshua Nassari kushambulia Makambako kesho tar.25/04/2015

    Katika muendelezo WA mikutano ya chadema inayoendelea hapa nchini kwa sasa. kesho ktk halmashauri ya mji WA makambako ,kutakuwa na mkutano WA hadhara utakaohutubiwa na kamanda salum mwalim na dogo janja kamanda Josh nassari (mb).mkutano unategemewa kuanza saa 6:00 mchana. nauona mwisho WA ccm...
  19. T

    Dr. Slaa ndani ya Morogoro tarehe 25 Aprili, 2015

    Wakati huo huo,siku hiyo hiyo na tar.hiyo hiyo kamanda salum mwalim na Joshua nassari(dogo janja )watakuwa makambako
  20. T

    Mahudhurio kati ya mkutano wa Mnyika CHADEMA & Zitto ACT-Wazalendo

    hakuna chama kichanga hapo,toka lini actccm ikawa changa?
Back
Top Bottom