Wakati ninaishi ughaibuni miaka kadhaa iliypiota, jirani yangu kutoka Kenya alinisimulia hali iliyokuwepo kisiasa nchini Kenya baada ya utawala wa Rais Moi na serikali yake kupitia chama cha KANU. Alinieleza hasira zilizokuwa kwenye mioyo ya wananchi kutokana na ufisadi wa viongozi wa serikali...
Ninacho kiona hapa unaleta mambo ya taaluma kwenye siasa. Any researcher anajua namna ya kupata publication ya fellow researcher. Wewe unakuja hapa JF, a social media, kutafuta kiki with a nonsense cause. Wake up. Not everybody hapa JF is stupid. Do yourself a good use of your time.
I just can't over the kind of people with this stupid mental belief that english is anything better. That's why a moron like this would like make us believe so.
Unajipandisha level bure. Ushaona interview ngapi tangu umezaliwa? Probably hata kifurushi cha CNN huna. Kama umezoea imterview platform za akina A. Masako, then hii nadhani siyo size yako.
How do you know kwamba Seif kaitwa BBC. What if Seif aliomba hiyo nafasi ya mahojiano ili aendeleze publicity yake. Alisha anza na VOA, sasa yuko BBC. By the way, anaye uliza swali ni mwandishi wa habari na anategemea ajibiwe kulingana na swali. Siyo issue ya ubabe na hotuba za kisiasa.
Andrew0079
Unahitaji kujitathimini wewe mwenyewe kama una aliki na uwezo wa kawaida - common sense. Unawezaje to question ability ya watu wengine kama unaamini kwamba kususia bunge (the people's house) kwa sababu ana hasira na mtu mmoja. And, you believe that's the best you can come up with...
Quote au paste post yako yoyoye hapa ambayo ulishawahi kuandika a positive comment kuhusu "Huyu". Umejawa na kutu kichwani na rohoni. Unadhani ukitaja jina utamfaidisha mtu! You have angalao miaka 5 ya kusubiri, and by then hopefully utakuwa umepata akili.
Bw. Mwita, ngoja nikwambie kitu poti. Hapo ndipo upinzani wa siasa wa sasa hivi unakosa hamasa. Kama unataka serikali ya mvuto labda subiri 2030 and beyond. Who cares about populism wakati watu wana kila aina ya matatizo majumbani, na wanatazama serikali angalao iwapunguzie mzigo. Watu wanataka...
Yeah, More freedom of press and speech to write about gossips and filthy journalism. Then, mnauza magazetu yenu mitaani kwa vichwa vya habari vyenye uongo, and the next day mnatoa press release to apologize for your own lack of ethics in your very own profession. Kwa kiswahili hawa wanaitwa...
Tume Yabaini Ufisadi Mkubwa Bandari....Waziri Aagiza Wahusika Waachishwe Kazi na Wafikishwe TAKUKURU
Serikali imebaini ufisadi mkubwa ndani ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) kutokana na kukamilika kwa kazi ya Tume iliyoundwa mahususi ili kuchunguza utendaji wa mamlaka hiyo, na imeagiza...
Walishauza gazeti mtaani kwa vichwa vya habari potofu in the name of politics. Ndiyo maana gazeti la Jamhuri linapongezwa na wasomaji for true investigative journalism. Limeandika matukio mengi na yote yana ushahidi na uchunguzi wa kutosha.:)
Nashangaa umejuaje kuandika kwa sababu nahisi hukuwahi kwenda shule. Au labda umesaidiwa! Kama una uwezo wa kusoma post hii, basi ujifahamu you are an idiot. A moron at best trying to equate your tiny thinking in your little world.
QUOTE="Usedcountrynewpipo, post: 16596695, member: 95887"]No. We r talking about occupational harzad. Kila kazi ina risk yake na ni wajibu wa muajiri kulinda wafanyakazi wake. Kama mhariri wa gazeti akikamatwa, gazeti husika linahusika kugharamia kesi yake hata kama kosa ni la kiutendaji au ni...
Peleka mashitaka kotini. Kesi itasikilizwa. Mahakama haibagui. But the President is a protectedindividual dunia nzima. He is aninstitution. Otherwise, stay awayfrom matusi. Siyo dili.
Umeshatoa hukumu. "Atishwe"? Yeah. Ni ishomile mwenzako. Nakushauri anza mchango mapema. Tayari kuna precedent ya kesi ya aina hiyo juzi juzi. Next time mjifunze ustaarabu wa lugha.
Unaumwa! Utukane mwenyewe halafu JF ikulipie fine! Hapa si sehemu au jukwaa la kuonyesha ubabe au kutangaza mapenzi yako kwa upinzani. Kuna kitu kinaitwa civility.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.