Search results

  1. A

    Kumjua bosi mpya wa SADC

    Kwenye ukatibu mkuu wa SADC hakuna zamu,walioomba wanashindanishwa kama wafanyazi wa kada nyingine(ni kama kugombea uwenyekiti wa AU Commission).Ushindi unategemea nguvu ya nchi kumfanyia kampeni.
  2. A

    MWAKYEMBE: Viongozi wasiopenda kukaguliwa wasipande ndege [Channel 10]

    Anaziba Ombwe la uongozi kwa Wizara ya Mambo ya Ndani. Waziri muhusika Emanuel Nchimbi yupo busy kuishughulikia CHADEMA.
  3. A

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Karagwe ajiunga na CHADEMA

    Ni Habari njema, lakini aangaliwe kwa umakini mkubwa.Isije akawa kama bwana JOHN SHIBUDA.
  4. A

    Mtanzania aliyekamatwa Los Angeles akiri kuingiza heroin Marekani

    Kila anayekamatwa anatokea Tanzania, je Haya madawa yanaingiaje Tanzania bila wahusika kukamatwa?
  5. A

    Kazi ya Mwakyembe yaanza kuonekana uwanja wa ndege Dar

    Anachofanya mwakyembe sio kitu kipya tanzania. Hata polisi sometime uwa wanawakamatana na kutaja majina yao adharani na kesi kuisha kimya kimya. Kinachotakiwa sasa kila punda anayekamatwa, na mmiliki wa uyo Punda anatajwa adharani. Vita hii hatutashinda kwa kukama dagaa peke yao wakati mapapa...
  6. A

    Biashara ya Madawa ya Kulevya: Wafungwa wa Kitanzania Hong Kong waendelea kufunguka

    Hiyo barua imajaa malalamiko bila kutaja jina hata moja la wahusika wakuu wa madawa ya kulevya. Imepunguza radha.Punda wanatakiwa wawataje wanaowabebesha. Vingenevyo tutaishia kulalamiko bila wahusika wakuu kukamatwa. Naunga mkono maandishi hapo chini "The worst is that the article also...
  7. A

    Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

    Hizo ni pesa nyingi sana, na ni mzigo kuzibeba/kutembea nazo. Kwa nini wanapenda kutembea na pesa nyingi? kwani huko bank hazijafika? "Ubilionea" wao una walakini mkubwa sana.
  8. A

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Ukiunganisha doti na hii kauli ya ACP faustine Shilogile (hapo chini) kwamba hawajui kama yuko hai au la. Itakua kweli amekufa hasa mikononi mwa polisi.Isije ikawa polisi wanaficha maiti yake na kusingizia kwamba ametoroshwa na wafuasi wake. Huku wakijipanga namna ya kupika news kuhusu kifo...
  9. A

    Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

    Huyu ni SAID MOHAMED SAAD mmiliki wa home shopping center. yupo SA kwa matibabu ya kumwagiwa tindikali masaki. Ni mafia wa kutupwa, halipi kodi na ni partner wa kibiashara na familia Kikwete.....ni bahati mbaya sana kutembelewa na JK means naye anasapoti wafanyabiasha wakubwa wasiolipa kodi...
  10. A

    Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

    Mapigano yanayoendelea sasa Mashariki ya Kongo hasa Muja na Goma ni kati ya Majeshi ya Kongo na Waasi M23. UN Brigade chini ya Majeshi kutoka TZ, Malawi na South Africa wapo kulinda raia. Kwa ufasihi zaidi kwa mapigano yaliyanza last monday wao wapo kama watazamaji tu na kulinda raia. Sijui kwa...
  11. A

    Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    Hi kodi ni ya kinyonyaji inatakiwa ifutwe mara moja. Badala yake wakusanye kodi kutoka kwenye rasilimali zetu kama madini etc. Najisikia vibaya sana kwa serikali kushindwa kukusanya kadi kwa kampuni za madini...
  12. A

    Kikwete: Bagamoyo Wafidiwe kwa kujengewa nyumba

    Wakigamboni nao wataomba wajengewe nyumba kama fidia ili "wasiyumbe kiuchumi" ili kupisha mpango wa mji mpya wa Kigamboni. Mama Tibaijuka upoooooo.
  13. A

    FBI Watua Arusha kwa ajili ya upelelezi wa bomu mkutano wa CHADEMA

    Sidhani kama FBI wanaitajika kuchunguza iyo issue ya Arusha kwani wapigaji wanajulikana na ushahidi upo kwamba serikali ya CCM ndio inawafanyia ugaidi raia wake. Kama kweli wapo Arusha nahisi uwepo wao ni kufifisha/kuharibu ushahidi kwamba serikali ya CCM ndio mtuhumiwa number moja. USA wana...
  14. A

    Images: Pres Barack Obama in Senegal

    Pia waafrika tunajidharirisha sana, mbona marais waliopita wa US kama Clinton, Bush na sasa Obama wakiwa nchi mmoja wapo ya Europe sijawai kusikia/kuona marais wa nchi jirani za Europe wakijisogeza nchi anapopita rais wa US? Wakati akiwa nchi mojawapo Africa, marais wa nchi jirani nao...
  15. A

    Nimeshuhudia muujiza wa ajabu nchini Germany!

    Huu sio uchawi wala sio mazingaombwe, hao ni waturuki kunavyuma wanaweka kuwasapoti ndio maana wanavaa grovu na mashati ya mikono mirefu kuficha, ukitembelea miji mingine ya germany kama Berlin, Leipzig, Koln etc utawakuta. hakuna uchwai hapo ni sanaa tu za kituruki.
  16. A

    BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

    Sio issue ya Maendeleo, ni issue ya DRC ndio inawasumbua Kagame na Museveni.
  17. A

    BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

    sio wanaume wapo kazini bali ni wahuni wapo kazini for political, economic and security purpose kule DRC. Kunaitajika umakini katika kuelewa International politics.
  18. A

    BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

    Alichoongea JK ethiopia sio umbea ni ukweli mchungu kwa Kagame na Museveni.
  19. A

    BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

    Hawajamuweka Pabaya JK or Tanzania in general, bali wamejiweka pabaya wao wenyewe kisiasa.Kagame na Museveni wameiandaa hii movie kisiasa zaidi kumkoamoa Kikwete kwa kupeleka majeshi DRC ambapo hao marais wawili hawakutaka. Pili ni suala la Kikwete kuwaambia Kagame na Museveni kuongea na waasi...
  20. A

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Nionavyo hii move iko kisiasa zaidi,ni ya kupeleka signal muhususi Dar es salaam. kwani Museveni na Kagame wako against na Kikwete kwa sababu ya TZ kupeleka majeshi DRC na current issue ya JK kupendekeza Kagame na Museveni waongee na waasi wa M23. Kenyata is just stepping stone..amekubali...
Back
Top Bottom